cacico am sorry...............ma sweetheart.

Ok cacico Msalimie sana mama aisee! Ukiona M-PESA yoyote inaingia toka sasa ujue ni mimi, hizo hela umpelekee mama aende Hindu Mandal, amwone daktari mmoja anaitwa Malik, hakika atapata nafuu, na ataendelea na Fantashiru zake!

inshaallah baba, zimefika! salamu pia kwa wadogo zangu! huyu mkweo Asprin samehe tu, sikuwa na jinsi ikabidi niolewe uke wenza! nahitaji sana maombi yako kwenye ndoa hii, lol!
Unavyopenda hela, sijui kama hii itafika.
 
Ok cacico Msalimie sana mama aisee! Ukiona M-PESA yoyote inaingia toka sasa ujue ni mimi, hizo hela umpelekee mama aende Hindu Mandal, amwone daktari mmoja anaitwa Malik, hakika atapata nafuu, na ataendelea na Fantashiru zake!

inshaallah baba, zimefika! salamu pia kwa wadogo zangu! huyu mkweo Asprin samehe tu, sikuwa na jinsi ikabidi niolewe uke wenza! nahitaji sana maombi yako kwenye ndoa hii, lol!

cacico ikiingia useme, maana huyu mbishi mno!
Tobaaaa!!!!!
 
gfsonwin Lete Mlisho-Nyuma/Feedback, maendeleo ya mahusiano yenu kwa sasa!..isije ikawa ni nguvu ya soda!..
Nimjuavyo mimi cacico (kumbuka ni mwanangu wa kufikia) ni kwamba mama yake akichelewesha lunch huwa anasahau misamaha yote aliyowapa marafiki na ndugu na jamaa wote, anageuka mbogo ghafla!...ana njaa huyo mtoto, sijui ni njaa ya ukoo wa babu yao!
Wakati akiwa mdogo alimtesa sana mama yake, ikabidi mama yake amwombe mke wangu ili mwanae cacico awe ananyonya na kwa mke wangu ili at least ashibe!!(maana mamake cacico na mke wangu walizaaga msimu mmoja), na ndiyo maana ya cacico kuwa mwanangu wa kufikia.

kaka yangu wa ukweee PakaJimmy cacico kakubali kunisamehe na ameshasamehe asante sana kwa kondoo na sale ulilonitumia.
 
Last edited by a moderator:
Nisamehe kwa kuchelewa kuja kukusaidia kuomba msamaha gfsonwin .......namjua cacico vizuri hope ameshakusamehe kwa moyo wake wote......hii ramadhani inanifanya niwe busy kiasi chake lol
gfsonwin mie pia najipanga nitafute wazee waje na mbege kuniombea msamaha kwako.......unajua vile namaanisha kutoka uvunguni mwa moyo wangu!..... :busu

Mimi penda wewe sana ila nikicheki majukumu yananiandama!
 
Najaribu kuyatizama hayo maneno kwenye red
 
Nimekumiss sana wewe mkaka ndio mana leo nimeganda tu hapa nasubiri ulog in angalau niuone mwandiko wako!

Hapo red usijali sana .....mie wala sitashika hiyo mbege.....watashika hao wazee na hii ni kwa mujibu wa kabila la gfsonwin bila mbege sitasamehewa!
 
Last edited by a moderator:
Gfsonwin na @ cacico kwa nini msiwe wakweli?
Baada ya thread hii kurushwa nilianza investigations,taarifa za kiintelijensia zinasema ukweli wa tukio ni kuwa cacico alibandikwa mimba na @ asprin,katika kukuru kakara ya kuitoa kwenye dispensare ya Kaizer iliyoko keko mwanga mambo yaliharbika ikabidi gfsonwin atafutwe ili ampeleke kwa dr wake bingwa wa kinamama,wakati anatafutwa naye kumbe yuko bize na bwanake nanhii buibui gest,wadau m nanipata uzuri?
 
Last edited by a moderator:
Nisamehe kwa kuchelewa kuja kukusaidia kuomba msamaha gfsonwin .......namjua cacico vizuri hope ameshakusamehe kwa moyo wake wote......hii ramadhani inanifanya niwe busy kiasi chake lol
gfsonwin mie pia najipanga nitafute wazee waje na mbege kuniombea msamaha kwako.......unajua vile namaanisha kutoka uvunguni mwa moyo wangu!..... :busu

Mimi penda wewe sana ila nikicheki majukumu yananiandama!

mamito usjali kabisa mpenz wangu wa moyoni.nakuskuru sana kwa kuja japo kuniskilizia tu. ila cacico keshasamehe, btw msamaha wangu itabidi mumewe cacico ndo awe mzee wa mbege yeye na Kaizer. mwambie PakaJimmy akupe sale na ukoka na mbuzi beberu ambalo ndo linaanza kupanda(beberu kijana)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom