Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

Hebu tubadili kidogo mjadala kwa kutumia hii 'DATA'!




Home » Members of Parliament » cv


[TD="width: 5%, align: center"]
email.gif
[/TD]
[TD="width: 20%"] E-mail this to a friend [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"]
print.gif
[/TD]
[TD="width: 14%"]Printable version[/TD]
Member of Parliament CV

SalutationHonourable
First Name: Mwigulu
Middle Name:Lameck
Last Name:Nchemba
Constituent:Iramba Magharibi
Political Party:CCM
Office Location:Box 52 Kiomboi, Iramba
Office Phone: +255 878 513446/+255 757 946223
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: mnchemba@parliament .go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 7 January 1975

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="align: center"] Member picture
1661.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location
University of Dar Es Salaam
University of Dar Es Salaam
The East African Uongozi Institute
Mazengo Secondary School
Ilboru Secondary School
Makunda Primary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Masters(Economics)[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]

[TD="align: center"]Degree (Economics)[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]

[TD="align: center"]Management[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Iramba West Constituency
The Bank of TanzaniaEconomist I

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From [/TH]
[TH="align: center"] To [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - UVCCM National Meeting
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee (NEC)
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - District Youth Board

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"][/TD]






speakerz.png


members.png
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Hon.Telele Saning'o Kaika
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]
1344.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"] Ngorongoro Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Questions(11)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Supplementary Questions(22)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Contributions(38)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]All members[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Comitee-email.png

searchmp.png
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Enter your MP name or constituent[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="width: 75"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

event.png

«««»»»
1 2 3 4
5 6 7 8 9 10 11
12 13 14 15 16 17 18
19 20 21 22 23 24 25
26 27 28 29 30 31

[TH="colspan: 3"]January 2014[/TH]

[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Sun[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Mon[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Tue[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Wed[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Thu[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Fri[/TH]
[TH="class: date, bgcolor: #FFF794"]Sat[/TH]

[TD="class: padding"][/TD]
[TD="class: padding"][/TD]
[TD="class: padding"][/TD]

[TD="class: padding"][/TD]





About ParliamentMandateFunctionsVision & MissionsStructureAdministrationHistoryCompositionContact
DocumentActsBillsHansards
Parliamentary CommitteeCommittee typesCommittee FunctionsCommittee Time tableCommittee CompositionCommittee reports
GlossaryThe SpeakerBillAmendments By-elections More...
Resources links Parliamentary Resources National Website Prime Minister's Office website National Electoral Commission website Africa4All project
Copyright © 2003-2012 Tanzania Parliament. All rights reserved | Terms of Use | Disclaimer. Designed and Published by DataVision International
 
Duh mbali sana nimekumbuka, Mwigu mbaya sana hata akiwa mazengo!

Mnakumbuka siku hiyo Grahams alishinikizwa sana kufanya night class session na mpaka Mgohamwende alikuja class kumbe yote alipush Mwigulu ili wafanikishe suala lao. Jamaa mshenzi sana hakujua impact yake.
 
MMDondo naona una hasira na ushenzi na dharau tunayofanyiwa na mkulu wa kaya. Lakini chonde tafadhari usiwe na haraka, uwe na subira!!
Tuvumilie kuliko kuleta kisanga tukose muelekeo ili tuwape nafasi na kisingizio cha kutawala kimabavu!!!
Kila jambo na wakati, poleni saana!!
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu kafanyakazi BoT ni experience tosha ya kufanya kazi katika wizara anajulikana kwa performance zake za awali, hilo linamfanya atambulike for his talents na wahusika wajuu kuwa ni option kwa hivyo unashangaa nini kuchaguliwa, timing is everything in life kuna wengi pia wanafahamika mpaka juu lakini wanabaki nyuma kwanza kupima maamuzi habari ndio hiyo.
unajua image is everything... Unaweza ukawa genius lakini hufai kuwa image ya organization

i have nothing ainast mwigulu education and professional qualities kwani sizijui.l. Ila nina wasiwasi na tabia yake na kama ni mtu anayeweza kuaminiwa kusimama mbele ya jamii


kauli, picha, his antics etc. have ,made me to believe kwamba hajakomaa kuwa kiongozi... Anaweza kuwa mwakilishi but not a leader
 
575686_171810116354558_542460542_n.jpg


UCHAMBUZI WA HARAKA:


Yaelekea matatizo ya uchumi wetu si miongoni mwa mambo yanayomnyima usingizi Rais Jakaya Kikwete, ndio maana amefanya kituko cha mwaka kumteua Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo nyeti. Ila mzaha huo ni wa kimkakati zaidi. CCM inahitaji fedha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu mwaka 2015. Hadi hapo si tatizo, lakini tatizo lipo kwenye kupata fedha hizo kwa njia halali. Ninatafsiri uteuzi wa Mwigulu kwenda Wizara ya fedha kuwa ni sehemu ya mkakati wa kuiwezesha CCM kupata fedha za uchaguzi mkuu ujao. Tutegemea EPA nyingine? Time will tell.

Adam Malima kupelekwa Wizara nyeti ya fedha si jambo la kushangaza, ikizingatiwa yyeye na JK wanatoka mkoa wa Pwani na ukaribu wao. Sijui nini kilichopeleka Juma Nkamia kupewa uwaziri wa Michezo, lakini majibu anayo JK mwenyewe.

BOTTOM LINE: Tatizo sio mawaziri bali Kikwete mwenyewe. Mbunge wa Ubungo aliwahi kuingia matatani alitamka bayana kuwa JK NI DHAIFU lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, na alichosema Mnyika ndo ukweli wenyewe. Mawaziri wanaweza kubadilishwa kila wiki, lakini as long as kiongozi wao ni dhaifu, basi tuendelee kutarajia yaleyale yanayopelekea kabineti kubadilishwa mfululizo kama safari za JK nje ya nchi.

Na kwa waliodhani Pinda angeng'oka walikuwa wanaota ndoto za mchana. Pinda ni nyenzo muhimu kwa JK, ni mtu anayebeba lawama za bosi wake. Madudu yakifanywa na JK,lawama zinaelekezwa kwa Pinda.

Tuombe Mungu 2015 ifike mapema, JK amalize majaribio yake ya urais, labda nchi yetu itapata mwelekeo mpya.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
"Hatari ya maisha mlangoni mwangu" bado una ujasiri?
Maadam katiba inamruhusu tumuache afanye atakalo hasa katika haya mamo ya uteuzi.Tuilaumu katiba zaidi.
 
:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:

Yaani mtu mzima anachukua wiki tatu kufanya uamuzi huu?........Come on Jakaya you could have done much better!
 
Mwigulu!!!:coffee: Nchi hii haiishi maajabu.... Yani Ukishangazwa na habari za Twiga wetu kupandishwa ndege,utakutana na habari za Mwigulu na Nkamia kupewa uwaziri! Anyway wanaoumia ndio hao hao wanaoshangilia teuzi za kipuuzi kama hizi!

Disgusting indeed:A S thumbs_down:
 
Hapa ni pika na chemsha bomu, matokeo ya uteuzi huu ni 2016 serikali itakapoingia na watanzania kujikuta tukiangukia pua kiuchumi. Watu wachache wanashangilia bila kujua; haya ndiyo yaliyotukuta kwa kumpa Ja-kaya...Jk hii nchi bila kujali ushauri wa mwalimu JK Nyerere aliyesema huyu ni mdogo (akili isiyokuwa)
 
View attachment 133264
Busara imetumika hapa, ni sawa na ile maana ya promotion by demotion ndicho pengine kinachompata Mwigulu. Kuna wazuri ambao wangefaa nafasi hiyo, lakini Rais kaona amchomeke hapa awe busy na mambo ya serikali kuliko alivyobaki huru kufanya madudu anayojua mwenyewe na pengine kusababisha kuyumbisha amani ya nchi ambayo ni zao letu tangu tupate uhuru kusumbuliwa na mtu huyu.

Kwani hata angepigwa chini hata kwenye nafasi za chama kulikuwa na tatizo gani. Kinachomsumbua JKni NEPOTISM. Fadhila na urafiki. Kama tayali ana record ya kuvuruga amani ya nchi pamoja na chama kwa nini uendelee kumkumbatia?
 
Wakuu,

Hivi hakuna marais WAKUKODISHA?pengine tunaweza tukamkodi OBAMA,au CLINTON wakatusogeza kimaendeleo,maana hawa wenzetu naona kama hawana VISION hivi!wanaongoza nchi kwa mazoea tu!

Naona kama wanajali maslahi Yao zaidi ya maslahi ya nchi!

CC Elli
 
Last edited by a moderator:
imeniuma jana nikaenda kulala na kwikwi watu wanavyocheza na maisha yetu
 
Hata Migiro naye ni ushikaji tu alafu hivi Malima na Nchemba wana mchango gani katika nchi hii zaidi ya hasara? ...ni bora wangeachwa manaibu wakaongoza wizara hizi kuliko kuongeza mizigo ya hivi tena

mkuu rweye morogoro na viunga vyake wanautambua mchango wa malima
 
Nimetafakari sana:
 
Last edited by a moderator:
Watu mlio wengi humu mnaongea utumbo mtupu hivi mwigulu mnaweza kumfananisha na mavilaza wenu kama wakina Sugu , Lema, Mbowe nk Mwigulu ni jeshi la mtu mmoja na nikiongozi supavu na mwelevu acheni kuongea utumbo humu ndani wakati elimu zenu hata form 4 hamjafika

Acha kutokwa povu! Tupe mifano hai ya huo "usupavu" na "welevu" unaozungumzia. Jenga hoja.
 
Kuna msemo aliwahi kuusema rais wa awamu ya pili mzee rukhsa wakati ule timu yetu ya Taifa ilikuwa inafungwa ovyo,mzee mwinyi akasema Tanzania imekuwa kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa,maneno hayo ndio nami nayasema maana kumekuwa na kasumba ya watawala wetu kupeana uongozi bila ata kufuata vigezo au busara ya mtu anaepewa huo uongozi,kupewa unaibu waziri kwa watu kama mwigulu na Nkamia ndio huko kusema nchi hii ni kichwa cha kila mtu kujifunzia kuongoza hasa awamu hii ya nne,imekuwa ya kujalibishiana kuongoza.yangu macho ila anguko kuu la magamba limefika mwakani sio mbali.
 
Nadhani hapa si rais wa kukodisha mbona watu makini wapo na mtawaona 2015, ila tatizo lenu kila kitu Nambari wani eeek nambari wani ni CCM! hatutafika tukiirudisha CCM madarakani tumekwisha, mimi tangu 1995 sijawahi kuipigia CCM KURA na sita ipigia kamwe!
 
Wakuu,

Hivi hakuna marais WAKUKODISHA?pengine tunaweza tukamkodi OBAMA,au CLINTON wakatusogeza kimaendeleo,maana hawa wenzetu naona kama hawana VISION hivi!wanaongoza nchi kwa mazoea tu!

Naona kama wanajali maslahi Yao zaidi ya maslahi ya nchi!

Mkuu ni kwena nahisi ni wakati muafaka kwa JK kumteua DJ Mbowe kusimamia wizara ya madanguro na starehe ili na sisi BAVICHA turidhike!
 
Mnakumbuka siku hiyo Grahams alishinikizwa sana kufanya night class session na mpaka Mgohamwende alikuja class kumbe yote alipush Mwigulu ili wafanikishe suala lao. Jamaa mshenzi sana hakujua impact yake.

JK kamteuwa DJ Mbowe kusimamia wizara mpya ya madanguro na Starehe........hii nikete muhimu kwetu BAVICHA kwani ishu za viroba,bange na gongo zitapata msukumo mpya..........pupooo piwaaaa!
 
Back
Top Bottom