Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

Naomba Mungu katiba mpya ipite. Hatuhitaji tena mawaziri watoke miongoni mwa wabunge.
 
Watu mlio wengi humu mnaongea utumbo mtupu hivi mwigulu mnaweza kumfananisha na mavilaza wenu kama wakina Sugu , Lema, Mbowe nk Mwigulu ni jeshi la mtu mmoja na nikiongozi supavu na mwelevu acheni kuongea utumbo humu ndani wakati elimu zenu hata form 4 hamjafika

Una muda gani unamemfahamu Mwigulu Nchemba?
huyu jamaa hana uweledi wowote ni kilaza ile mbaya tuulize sisi tuliosoma nae. Kasoma EGM Mazengo high school akatoka na III mning'inio tena alikuwa mkiani kwa ufaulu wa mwaka2001 darasani mwake. Isitoshe harakati zake za kuteka na utesi hajaanza leo, nakumbuka kpnd hicho alitutesa sana, yeye akiwa HP alishirikiana na TISS kuvamia na kuiba computer ya mwalm wetu wa physics kutoka USA, ikapelekea kukosa notice za physics kwa michepuo ya PCM,PCB na PGM. Kipindi hicho alikuwa katibu wa UVCCM singida.
Kiukweli huyu jamaa hafai kabisa kuwa mtendaji katika wizara nyeti kama hiyo ila amewekwa purposely kwa masrahi ya CCM na pia anaconnection kubwa pale kisimani-BOT.
 
Hivi mnashangaa nini sasa? Zakia Menghi? Alafu hamshangai huyo waziri mpya wa fedha?
 
Hawa vijana wote wamesomea mambo ya Finance na economy, tuwape fursa huenda wakafanya vizuri, tusianze kupapatika kwa sababu mmemuona mwigulu kwenye siasa za upinzani na mashindano, hebu tumuone kwenye hili la kitaifa. Lets not jump the gun...
 
Mpaka hapa watu wamemuona Nchemba zaidi naweza kusema, Nchemba ni mti wenye matunda mazuri na lazima akina fulani wamchu.
 
kwa ccm mwigulu nchemba ana deserve hyo position coz mwigulu ni mtii wa amri za wakubwa zake, akiambiwa fuata bomu uchna anafuata, kalipue mikutano ya cdm na wapnzan kwa ujumla yuko tayar.. Hivyo bac kwenye nafasi hyo nyet atawezesha madudu ya wakubwa zke kufanyka bla hestation.. Pia chma hakna wachum wengne wakal wa first clas kma nchemba. Jaman mwachen mteuz apumue.. Angemteua hta lipumba maybe katba ndo imembana tu..
 
Tukisema maccm yanatumia makalio kufikiria sio tusi,bia shaka umelidhika na uteuzi.
Zidumu fikra za makalioni.........

Huyu jamaa hafai hatakuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi.
 
muanzisha maada, pole sana

ila samahani kwa swali hili, ulitaka naibu waziri awe nani? au ulitaka cabinet yako iweje? ebu toa mwongozo please
 
kwa ccm mwigulu nchemba ana deserve hyo position coz mwigulu ni mtii wa amri za wakubwa zake, akiambiwa fuata bomu uchna anafuata, kalipue mikutano ya cdm na wapnzan kwa ujumla yuko tayar.. Hivyo bac kwenye nafasi hyo nyet atawezesha madudu ya wakubwa zke kufanyka bla hestation.. Pia chma hakna wachum wengne wakal wa first clas kma nchemba. Jaman mwachen mteuz apumue.. Angemteua hta lipumba maybe katba ndo imembana tu..
 
Mpaka hapa watu wamemuona Nchemba zaidi naweza kusema, Nchemba ni mti wenye matunda mazuri na lazima akina fulani wamchukia maana walizoea kupayuka na kupepeta midomo dhidi ya wenzao sasa maana kundule haoni nyani akatokea nchemba na lusinde wakawa kiboko yao wakasema anaharibu nchi hahaaa.

Hapa kisima anasaport mleta mada kwamba nchemba hafai kuwa naibu waziri eti alipata III ya mwisho hivyo hafai sidhani kama hiyo ni hoja ya msingi maana mimi mwenyewe nilipata hiyohiyo form IV lakini six nkapata one na UDSM nikapata 1st Class na Masters nikapata B. Pili Nchemba angepata III form six wakati ule hata sasa asingepata nafasi ya kusoma Economics UDSM rejea prospectus ya UD upate uhakika wa hilo.

Ninachoshauri tuache kuponda kishangingi humu bali tulete uchambuzi usiotia shaka. Mfano kama wewe ni chadema, weka baraza la mawaziri la chadema ulinganishe misifa na cv na la jk vivyo hivyo cuf, nccr nk.

Nategemea tunavyofanya uchambuzi na kashfa dhidi ya Rais lazima tushawishiane pasipo shaka la chuki au maslahi binafsi

Mwisho napenda kuwasihi watanzania wenzangu si kila anashabikia chama fulani iwe tawala au pinzani ana nia ya dhati ya kuijenga hii nchi. Wengine tunaulafi wa madaraka, wengine ndiyo ajira yetu, wengine tumetumwa au tunaelekezwa na matajiri wa nje kama ngos etc hivyo tutafakari kwa kina na kufanya kazi kwa bidii maana sitegemei mwanasiasa yeyote atajanitoa katika umasikini.
 
Tanzania tumewahi kuwa na rais mmoja tu, waliofuatia wote ni vinyuago vya urais
 
575686_171810116354558_542460542_n.jpg


UCHAMBUZI WA HARAKA:


Yaelekea matatizo ya uchumi wetu si miongoni mwa mambo yanayomnyima usingizi Rais Jakaya Kikwete, ndio maana amefanya kituko cha mwaka kumteua Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo nyeti. Ila mzaha huo ni wa kimkakati zaidi. CCM inahitaji fedha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu mwaka 2015. Hadi hapo si tatizo, lakini tatizo lipo kwenye kupata fedha hizo kwa njia halali. Ninatafsiri uteuzi wa Mwigulu kwenda Wizara ya fedha kuwa ni sehemu ya mkakati wa kuiwezesha CCM kupata fedha za uchaguzi mkuu ujao. Tutegemea EPA nyingine? Time will tell.

Adam Malima kupelekwa Wizara nyeti ya fedha si jambo la kushangaza, ikizingatiwa yyeye na JK wanatoka mkoa wa Pwani na ukaribu wao. Sijui nini kilichopeleka Juma Nkamia kupewa uwaziri wa Michezo, lakini majibu anayo JK mwenyewe.

BOTTOM LINE: Tatizo sio mawaziri bali Kikwete mwenyewe. Mbunge wa Ubungo aliwahi kuingia matatani alitamka bayana kuwa JK NI DHAIFU lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, na alichosema Mnyika ndo ukweli wenyewe. Mawaziri wanaweza kubadilishwa kila wiki, lakini as long as kiongozi wao ni dhaifu, basi tuendelee kutarajia yaleyale yanayopelekea kabineti kubadilishwa mfululizo kama safari za JK nje ya nchi.

Na kwa waliodhani Pinda angeng'oka walikuwa wanaota ndoto za mchana. Pinda ni nyenzo muhimu kwa JK, ni mtu anayebeba lawama za bosi wake. Madudu yakifanywa na JK,lawama zinaelekezwa kwa Pinda.

Tuombe Mungu 2015 ifike mapema, JK amalize majaribio yake ya urais, labda nchi yetu itapata mwelekeo mpya.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Mambo ya utani rais wa tanzania anapenda. Tusubiri kuona yale yale kasoro watu ndo wamebadilika. Hakuna jipya kwa kikwete.
 
Una muda gani unamemfahamu Mwigulu Nchemba?
huyu jamaa hana uweledi wowote ni kilaza ile mbaya tuulize sisi tuliosoma nae. Kasoma EGM Mazengo high school akatoka na III mning'inio tena alikuwa mkiani kwa ufaulu wa mwaka2001 darasani mwake. Isitoshe harakati zake za kuteka na utesi hajaanza leo, nakumbuka kpnd hicho alitutesa sana, yeye akiwa HP alishirikiana na TISS kuvamia na kuiba computer ya mwalm wetu wa physics kutoka USA, ikapelekea kukosa notice za physics kwa michepuo ya PCM,PCB na PGM. Kipindi hicho alikuwa katibu wa UVCCM singida.
Kiukweli huyu jamaa hafai kabisa kuwa mtendaji katika wizara nyeti kama hiyo ila amewekwa purposely kwa masrahi ya CCM na pia anaconnection kubwa pale kisimani-BOT.
Dah kaka umenikumbusha mbali nilikosa somo la Physics likifundishwa na Grahams kisa laptop yake iliibwa na hawa jamaa ingawa najua walikuwa wanaiba data may b lakini baada ya kuchukua hayo makitu wangemrudishia laptop yake ili tufundishwe
 
Hizi ni dharau na kejeli kwa watanzania...sijui kama tunawaelewa wanavyotuchukulia hawa jamaa.
 
575686_171810116354558_542460542_n.jpg
UCHAMBUZI WA HARAKA: Yaelekea matatizo ya uchumi wetu si miongoni mwa mambo yanayomnyima usingizi Rais Jakaya Kikwete, ndio maana amefanya kituko cha mwaka kumteua Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo nyeti. Ila mzaha huo ni wa kimkakati zaidi. CCM inahitaji fedha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu mwaka 2015. Hadi hapo si tatizo, lakini tatizo lipo kwenye kupata fedha hizo kwa njia halali. Ninatafsiri uteuzi wa Mwigulu kwenda Wizara ya fedha kuwa ni sehemu ya mkakati wa kuiwezesha CCM kupata fedha za uchaguzi mkuu ujao. Tutegemea EPA nyingine? Time will tell. Adam Malima kupelekwa Wizara nyeti ya fedha si jambo la kushangaza, ikizingatiwa yyeye na JK wanatoka mkoa wa Pwani na ukaribu wao. Sijui nini kilichopeleka Juma Nkamia kupewa uwaziri wa Michezo, lakini majibu anayo JK mwenyewe. BOTTOM LINE: Tatizo sio mawaziri bali Kikwete mwenyewe. Mbunge wa Ubungo aliwahi kuingia matatani alitamka bayana kuwa JK NI DHAIFU lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, na alichosema Mnyika ndo ukweli wenyewe. Mawaziri wanaweza kubadilishwa kila wiki, lakini as long as kiongozi wao ni dhaifu, basi tuendelee kutarajia yaleyale yanayopelekea kabineti kubadilishwa mfululizo kama safari za JK nje ya nchi. Na kwa waliodhani Pinda angeng'oka walikuwa wanaota ndoto za mchana. Pinda ni nyenzo muhimu kwa JK, ni mtu anayebeba lawama za bosi wake. Madudu yakifanywa na JK,lawama zinaelekezwa kwa Pinda. Tuombe Mungu 2015 ifike mapema, JK amalize majaribio yake ya urais, labda nchi yetu itapata mwelekeo mpya. MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mkuu uchambuzi wako ni sahihi kabisa.Maana naona mheshimiwa hata hajui tatizo la kiuchumi kama lipo ama halipo.Kweke yeye mtu yoyote anaweza nafasi yoyote.Mtu yoyote makini atajua Nchemba pale kaenda kuichotea ccm hela basi,ili ishinde uchaguzi ujao.Nchemba ndiyo swahiba wa kununua wapinzani kwa pesa,sasa amepewa wizara ya pesa.Sijui kama nchi itapona,Mungu tu asasidie.
 
Mzalendokweli itisha maandamano nchi nzima au kama unachama kuanzia sasa tangazeni kutotoa ushirikiano kwa serikali. Kama vipi tumuombe rais awachague wale tunaowaona sisi kuwa wanafaaa
 
Nchemba atachezea hela za walipa kodi kuliko unavyoweza kufikiri.Kumbuka hivihivi alivyo kuwa si waziri amemlipa hela nyingi sana Zito.Katika maandishi yake amemwita Zito Shujaa wao.Wafuasi wa Zito labda watapata boost kubwa mtu huyu kwenda wizara ya pesa.
 
Back
Top Bottom