Inawezekana bado ni mipango ya Mungu ili kila aliyekuwa bado hajaielewa vizuri CCM na utendaji wake,aijonee ili achukue uamuzi unaostahili.
Sometimes Unashindwa kuelewa kama JK anapata ushauri mzuri ili kufanya maamuzi au ni upeo wake mdogo sana vilevile wa kutoweza kupambanua nini cha kuamua.
Sioni tatizo sana kwa wale walioteuliwa ktk positions hizo pamoja na sifa zao na record zao mbovu zisizofaa.Tatizo ni au source ya matatizo yote na maamuzi mabovu yote ni kuwa na kiongozi asiyefaa ktk ngazi ya taifa. Na hili mbali na kuwaweka mahala pagumu wateule wake,nadhani inatoa taswira mbaya sana na kumuumbua rais wetu jinsi alivyo na upeo mdogo sana ktk post aliyonayo.
Taratibu mtaanza kumwelewa Kagame ni jinsi gani aliudhiwa na huyu jamaa kiasi cha kuazimia kumvizia na kumchapa akidhani hilo lingesaidia. Nahisi Kagame angemchapa,hali yetu ingekuwa na mabadiliko ambayo mimi na wewe hatujui.Ingeweza kusaidia au kuharibu zaidi.
Sina hakika kama anajua anachokifanya, na kama ni dhamira yake, basi kutokana na utendaji wake mbovu,jamaa ana dhamira mbaya sana kwa taifa lake.
Inatia uchungu sana kuwa na kiongozi wa namna hii katika ulimwengu wa sasa.Haihitaji kufika hata O level kuona mapungufu ya JK.
Ndiyo maana pamoja na mapungufu ya viongozi wa nchi jirani,bado wakikaa na JK kufanya maamuzi kwa manufaa ya nchi zao nadhani walishagundua jamaa ni kilaza fulani hivi na kuona atachelewesha mambo muhimu ktk maendeleo, bila kumficha wameamua kumweka kando.
To be honest the guy hafai kabisa na anapwaya sana kwenye post hiyo. Nchi yetu itakuwa imepita ktk kipindi cha giza ktk utawala wake. Hasara kubwa sana kwa Taifa.
Ndiyo maana nilianza kwa kusema huenda Mungu ameamua kulirehemu taifa letu kupitia utawala dhaifu ambao sijawahi kuona aina yake,ili kutokana na UBOVU wa ngwe hii ya utawala watz wajipange kutorudia kuchagua Msiba kama huu kwa taifa.
Ni dhahiri yote ambayo yameshatokea,yanayotokea na yatakayotokea kuhusu watu kama akina Nchemba kupewa post za hivyo, Ni udhaifu wa kiongozi asiye na dhamira njemba kwa taifa,na kama si udhaifu tu basi jamaa atakuwa ni jeuri na kiburi kisichokuwa na mfano. Huyu mtu hakustahili kuendelea kuwa madarakani. It's only in Tanzania.