Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 8,205
- 14,132
Hivi Tanzania tumelogwaaaaa au ni Jk na ccm bado wanaota ndoto.. Uchumi wetu hoi baraza la mawaziri hihaaaa linakua siku hata siku sasa ni kulipa fadhilaaaa ni kukosa busara au ni kulipiza kisasi.. Kisasi hiki kinatuumiza sisi Watanzania tulio wengi.. Hivi huyu mtu huwa anashawishika kirahisi hivi au ni jeuri tu.. Kikwete kweli kweli kutuliza namna hii Watanzania tulikukosea nini? Tuambie tujue tujirekebishe. Inauma inaumiza inaliza inasikitisha... Mkulu unaacha kuzingatia shida za Watanzania Elimu mbovu barabara mbovu maji safi hakuna hospitali hakuna kweli kweli hii dhambi itaisha lini Tanzania yangu??????