Kuna siku mwalimu alishawaonya watz kuhusu kufanya uchaguz wa viongoz kwa sura,kabila,dini,ukanda,rushwa etc.sis tukapuuzia na tukamchagua jk kwa vigezo hapo juu badala ya uwezo wa uongoz na utendaji.
Sasa hamna haja ya kulalamika kwa sifa za jk nchema anamfaa sana.huwez kuvuna mtama kwenye mahidi na hapo msubir professor maji marefu atakuwa PM siku mkimuondoa pinda.