Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

Wakujilaumu ni sisi wenyewe kwani hatupo makini na mambo yetu ya msingi, kuwapigia kelele ni sawa na kumfundisha bata kuogelea.
 
huyu mzee kachanganyikiwa tangu atangaze kuanza kupika gongo nilijua kile kichwa hakina kitu tena mbona yeye slaa ndiye mzigo namba moja kazi kuzoa zoa wake za watu tu.
 
Wakujilaumu ni sisi wenyewe kwani hatupo makini na mambo yetu ya msingi, kuwapigia kelele ni sawa na kumfundisha bata kuogelea.

wewe ndiyo hauko makini kwa kuruhusu chadema kinakuwa na watu laghai kama dr slaa.
 
Akiwa jimboni Busega, katibu mkuu wa Chadema Dr. W. Slaa amemshambulia mbunge wa jimbo hilo Dr. Titus Kamani ambaye pia ni waziri mpya wa wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akimtaja kuwa ni mzigo mwingine katika baraza jipya. Waziri Kamani alifananishwa kama mzigo wa (furushi la)misumari kwani ni miongoni mwa watu walioshindwa kutekeleza vyema majukumu yao.

Chanzo: Tanzania Daima J. Pili 02/02/1014

Oooh kumbe ni Gazeti la tanzaniadaima sawa na CCM na uhuru
 
Last edited by a moderator:
huyu mzee kachanganyikiwa tangu atangaze kuanza kupika gongo nilijua kile kichwa hakina kitu tena mbona yeye slaa ndiye mzigo namba moja kazi kuzoa zoa wake za watu tu.

Nawewe unajiita ni mtanzania,ndiyo akili yako ilipoifikia.
 
Back
Top Bottom