Hao wabunge nao wa.ji.nga tu waacha kutunga sheria kali kwa wauaji wa maalbino wanadeal na mambo ambayo hata hayagusi shida za watanzania walip wengi.. huu ni ujinga uliopitiliza sana.
Kiswahili kinachanganya, hivi huy nancy anasambaza au ameweka hizo picha za utupu, kama anasambaza hiyo itakuwa inamuhusu ila kama ameweka tu na watu wenyewe ndio wanaofuata hiyo haimuhusu kabisa:tape2::tape2:
This new Bill.is.too.damn.much.against privacy.
Its a.right that.will be.violated.
Yani kunizuia.nisiangalie.porn,mwanaume.mzima am over 18???
Atakeshare in.public awe liable but sio.mm kumrushia.a friend ama lover!
Tz bana, kabla ya kufunga mafisadi wanaoyumbisha uchumi wa nchi mpaka wanaoutupa misaada wanasita kutoa wao hujenga hoja na vitu ambavyo havina hata maana,