Bwana yesu asifiwe, assalam aleykum

Bwana yesu asifiwe, assalam aleykum

Hv jaman, wabongo tutaenda mbinguni kweli? maana yesu alitumwa kuja kuokoa wana wa izrael, sasa itakuwaje ktk msururu wa kwenda mbinguni akionekanapo mbongo ? Kwanza yesu ataulizwa na MUNGU "hv ww nimekutuma ukaokoe watu gani" , yesu c huwa anajifanya ana majibu nadhani atajibu; 'wana wa izrael' hlf tena ata ambiwa "kwa hiyo na hao wa2 weusi huko nyuma umewatoa wapi?, naomba urudi nao mm cna pakuwaweka" pia mikanda ambayo ni ya wazungu huwa wanaigiza m2 mzungu huigiza kama ndiye malaika lkn mwafrika anaigiza kama SHETANI why?
 
Umetoka wapi na nani kakusimulia haya? Hili ni Jukwaa gani?
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Karibu Babu Loliondo.
 
Hodi hodi JF,

Kwanza niwapongeze kwa kazi nzito mnayoifanya ya kulijenga taifa letu bila kujali tofauti za kiitikadi na nyinginezo. Pili, naomba kuungana nanyi bega kwa bega ili hatimae tuweze kutoa michango yetu juu ya namna gani ya kufikia Tanzania ile ambayo kila mmoja wetu amekuwa akiitazamia yaani Tanzania yenye maendeleo endelevu.

Naomba mnipokee.

Natumaini tutakuwa pamoja kwa hali na mali.

..............Karibu sana Babu loliondo,.....................mengi utayaona fungua macho,mengi utayasikia tega masikio, mengi yatakuudhi yakemee,mengi yatakufurahisha.........usiyasahau,..........................ila,fuata kanuni,....................................huku kuna mengi na wajukuu ni wengi,...........................hata akina bibi nao wapo,vikombe vya kila aina hata vya dhahabu,tena si ya nyamongo..........KAribu tena jisikie uko loliondo pata na kikombe cha :coffee:
 
Back
Top Bottom