Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
anaitwa Juma Athumani.baba yake anaitwa nani couz mi niko ushirika hapa
anaitwa Juma Athumani.baba yake anaitwa nani couz mi niko ushirika hapa
mmmm hatariMwanamke akutwa ndani ya chemba (sewage) ya Mkazi/Mfanyabiashara na Mkazi wa Kibamba aliyejulikana kwa jina la Mtei. Amefikaje? Haikufahamika ila walisikika wananchi wakisema ni msukule.
View attachment 318296 View attachment 318297 View attachment 318298
Mtanzania limeandika tayari. Habari ni habari tu. Aende mahakamani sasaMtoto wa mtei kapiga mkwara endapo gazeti lolote litaandika habari hii kuihusisha na familia yao atawasue. Tusubiri tuone
Kwenye hako katundu alipitaje?,au alidumbukizwa then lika funikwa kama kaburi?Inaonekana alikuwa Ni Mnene Balaa..
Umewahi kutembelea Uru?Mchaga na uchawi wapi na wapi?
Mwanamke akutwa ndani ya chemba (sewage) ya Mkazi/Mfanyabiashara na Mkazi wa Kibamba aliyejulikana kwa jina la Mtei. Amefikaje? Haikufahamika ila walisikika wananchi wakisema ni msukule.
View attachment 318487
View attachment 318296 View attachment 318297 View attachment 318298
Kinachonitatiza ni jinsi media zetu zinapokurupuka na kutoa taarifa za "hear say" badala ya kufanya uchambuzi wa kina ili kutoa taarifa iliyo sahihi. Hii concept ya "breaking news" imewafanya wasahau maadili na kukimbilia kutoa report zisizo na ukweli.huyo dada inasemakana sio msukule bali ana matatizo ya akili juzi alienda kituo cha polisi mbezi akaingia chooni akakaa muda sana baadae askali wa kike wakamuogesha na kumsitili na akawakimbia
anawezekana akili yake inamtuma kukaa chooni tuu
Bado hujakua itayaona tu. YanakujiaIssue ya misukule ni uongo wa hali ya juu kuwasadikisha watu kuwa mtu anaweza kufa/kuchukuliwa msukule mbali na makazi ya binadamu ili afanyishwe kazi na kisha mganga mashuhuri ( wa kufufua misukule) au mhubiri mashuhuri (kama afanyavyo gwajima) aweza kumfufua na kumrejesha katika utu wa kawaida!this is a satanic illusion! Baya zaidi jamii zetu za kiafrika zimekumbatia sana imani hii na kuendelea kutapeliwa kila siku