Bwana Mtei matatani kwa kumchukua mwanamke msukule

Bwana Mtei matatani kwa kumchukua mwanamke msukule

Issue ya misukule ni uongo wa hali ya juu kuwasadikisha watu kuwa mtu anaweza kufa/kuchukuliwa msukule mbali na makazi ya binadamu ili afanyishwe kazi na kisha mganga mashuhuri ( wa kufufua misukule) au mhubiri mashuhuri (kama afanyavyo gwajima) aweza kumfufua na kumrejesha katika utu wa kawaida!this is a satanic illusion! Baya zaidi jamii zetu za kiafrika zimekumbatia sana imani hii na kuendelea kutapeliwa kila siku
 
Nimeiona video yake, inasikitisha kumfanya binadamu mwenzako namna ile, ni bora umuue tukuliko kumtesa namna hiyo..
 
Aah wapi ni mabingwa hao ila wanapenda kufanya collabo ndio maana hawastukiwi sana
Kuna mshikaji alikuwa analalamika kuwa wa Rombo wako fresh...na yeye wa huko huko...ndio nikajua kuuumbe...hapo ndugu yake kaolewa huko sasa vituko alivyokutana navyo vikamfanya aongee kwa hasira na kutunufaisha wengine
 
Mbona wanamdhalilisha si wangemstiri kwanza, kisha wangeendelea kumpiga picha.

Hao wanaoshuhudia na kanga/vitenge mwilini mwao ina maana wameshindwa kumsaidia mwanmke mwenzao japo upande mmoja?

Jamani, mbona sie watu ustaarabu tumekosa!

Kwa hili ni bora hata Mnyama kuliko sie tunaojiita Watu
 
Baada ya kuona kuna Ujumbe mbalimbali zinazosamba Kwenye mitandao ya kijami kuhusu Mtei tumeona ni vema kituo cha Radio ya Zapa Fm kiwatafute wasemaji wa famili ya mtei mwenye kampuni ya usafirishaji na mambo yalikua hivi fwatilia.

-----------------------
Kuna ujumbe unaosema kuwa nyumba iliyoko eneo la Kibamba ya mfanyabiashara Mchagga Mtei wa mabasi imekutwa na msukule, naomba kukanusha uvumi huo kwa niaba ya familia. Mtei wa mabasi hana nyumba Dar es salaam wala hana mtoto yoyote anaeishi Dar es salaam.

Hatuelewi ni kwanini wameamua kusambaza uvumi huo iwe kwa sababu ya biashara au kuchafulia ukoo jina, tungeomba mchunguze vizuri habari hizo na pia Chanzo ya habari hiyo kama Ni chauwakika.

Mimi Ni ndugu na mjukuu pekee wa mzee Nderasio Mtei (Mtei wa mabasi) ninayeishi Dar es salaam.

Haika Mtei
 
Ila hii biashara ya umiliki wa vyombo vya usafiri niliikataa katakata kwasabab wabongo ni watu wa ajab sana ajali ikitokea iue abiria utasingiziwa umetoa kafara na wako serious nakulazimisha iwe kweli. Hata kama ni wazi ni uzembe wa dereva ama mwengine wewe mmiliki utaambiwa umetoa kafara tuuuuu.

Tunaish katika taifa linaloamini ushirikina kwa kila kitu. Nyambaff zetu
 
Ila hii biashara ya umiliki wa vyombo vya usafiri niliikataa katakata kwasabab wabongo ni watu wa ajab sana ajali ikitokea iue abiria utasingiziwa umetoa kafara na wako serious nakulazimisha iwe kweli. Hata kama ni wazi ni uzembe wa dereva ama mwengine wewe mmiliki utaambiwa umetoa kafara tuuuuu.

Tunaish katika taifa linaloamini ushirikina kwa kila kitu. Nyambaff zetu
Mkuu Usihof Unaweza invest ha ukapata fedha Muhimu Kuzingatia bima
 
Bora amekanusha maana sasahivi kila mtu ana smartphone! Anaona kila kitu!
 
Back
Top Bottom