BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Haika tulia kesho upige pesa
We zezeta nini, unaona picha halafu wasema hakuna uthibitisho?
Ungeongezea nyama kidogo kwenye maelezo yako kwa nini unaamini kwamba imani hiyo ni uongozi kuliko kutoa maelezo ya jumla.Issue ya misukule ni uongo wa hali ya juu kuwasadikisha watu kuwa mtu anaweza kufa/kuchukuliwa msukule mbali na makazi ya binadamu ili afanyishwe kazi na kisha mganga mashuhuri ( wa kufufua misukule) au mhubiri mashuhuri (kama afanyavyo gwajima) aweza kumfufua na kumrejesha katika utu wa kawaida!this is a satanic illusion! Baya zaidi jamii zetu za kiafrika zimekumbatia sana imani hii na kuendelea kutapeliwa kila siku
Sasa huyu Bibie Haika mbona ameshaharibu, fursa hiyo bana! angekaa kimya waandike alafu waisome namba.![]()
Haika tulia kesho upige pesa
HeheheHuyo mdada ni Staff Mental
Ili iweje?Najiuliza tu mwemyewe hivi kama ni ukweli hiyo familia ingekuja hapa kusema ni kweli?
Mtei naona unajitetea kiaina tehe tehe tehe.huyo dada inasemakana sio msukule bali ana matatizo ya akili juzi alienda kituo cha polisi mbezi akaingia chooni akakaa muda sana baadae askali wa kike wakamuogesha na kumsitili na akawakimbia
anawezekana akili yake inamtuma kukaa chooni tuu
aminiIssue ya misukule ni uongo wa hali ya juu kuwasadikisha watu kuwa mtu anaweza kufa/kuchukuliwa msukule mbali na makazi ya binadamu ili afanyishwe kazi na kisha mganga mashuhuri ( wa kufufua misukule) au mhubiri mashuhuri (kama afanyavyo gwajima) aweza kumfufua na kumrejesha katika utu wa kawaida!this is a satanic illusion! Baya zaidi jamii zetu za kiafrika zimekumbatia sana imani hii na kuendelea kutapeliwa kila siku
Unazan hii ni kwa africa tu,uko wrong mkuu.bara la asia ni balaaa kwa haya mambo.kwa kifupi hata marekan ushirikina na hiz man zipo na uko ndo wanaongoza.sio tu africa mkuu.ss africa hta kwa uchawi ni wa mwishoIssue ya misukule ni uongo wa hali ya juu kuwasadikisha watu kuwa mtu anaweza kufa/kuchukuliwa msukule mbali na makazi ya binadamu ili afanyishwe kazi na kisha mganga mashuhuri ( wa kufufua misukule) au mhubiri mashuhuri (kama afanyavyo gwajima) aweza kumfufua na kumrejesha katika utu wa kawaida!this is a satanic illusion! Baya zaidi jamii zetu za kiafrika zimekumbatia sana imani hii na kuendelea kutapeliwa kila siku