BEDO NYALUTOGO
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 1,328
- 192
mkuu unaongea nini? mbona kama unaruka hewani ?
Ni taahira lile! Lenyewe lilidhani likisema ujinga ule labda wananchi watalipenda na kuiunga mkono chagadema, kumbe ndio limeharibu kabisaa! Hao wazanzibar wenyewe hawaitaki chadema wanadai ni ya wakristu!
Akilii hii hii alionayo ya mipasho...katoka singida huko madongo kuinama kwenye matembe kaletwa mjini na shule za bure JKN alizompatia elimu ya bure..kama CDM viongozi wenyewe ni hawa....kuongoza nchi ni ndoto za mwendawazimu!!Halafu kajifunze lugha kwanza ndo uje ujibu hapa.....sikujuwi-sikujui,adi-hadi, amna- hamna....ni hayo tu na kichwa chako cha panzi.
TL pale alichemsha na kiukweli itamgharimu sana
Bw.Tundu sio mtu intelligent kama watu wengi wanavyodhania, kwa maana mtu intelligent huwa ana uwezo wa kujua madhara ya kile anachokisema kabla hajakisema!
Mtu intelligent yoyote anapaswa kufahamu ktk Nchi kama TZ hauwezi kuanzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere na ukashinda hata uwe nani, hata Raisi wa nchi leo hii akianzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere hawezi kushinda mwishowe kuna mtu tu anaweza hata akajitoa mhanga kumlipua!
Ni sawa naleo hii Marekani mwanasiasa aanzishe Vita dhidi ya sijui Raisi Washington au Lincoln hawezi kushinda hata iweje hata kama huyo Mwanasiasa yuko sahihi kwa kiasi gani, vile vile kama ilivyo pia hakuna Mwanasiasa AK leo hii ambaye anaweza akaanzisha Vita dhidi ya Bw.Mandela na akashinda hata kama atakuwa sahihi kwa kiasi gani, na ndio maana utaona Wanasiasa wenye akili linapofika kwenye swala la hawa watu huwa wanakuwa waangalifu sana wawe ni Demokrats au Republikan hakuna anayethubutu kuwaongelea na kuwakashifu Lincoln hata kama walifanya makosa kiasi gani kwa maana wanafahamu kwamba hawa Watu nafasi yao imeshaandikwa kwenye Historia na huwezi kuifuta bila kukugharimu...
Bw.Tundu alipaswa aelewe kwamba hata kama Mlm.Nyerere amekosea kwa kiasi gani hakupaswa kumuongelea vile, alipaswa aelewe kwamba kuna watu wako tayari kufa kumtetea Mlm.Nyerere na hiyo ni Nchi nzima kuanzia jeshini mpaka Utingo wa daladala...
duniani kote sijawahi ona mtu anakashfu viongozi wao wakuu/wa awali kwani hawatokubaliwa. Huyu mtu alipaswa kunyang'anywa nyadhifa zote za kisiasa na wananchi. Na ninahisi kesha fika mwisho kisiasa, hatuezi kua na kiongozi mropokaji ka huyu ns tumuangalie tu.
Kivipi mkuu.....!?
Funguka uzuri mbona nusu nusu ama pana khofu fulani....?
Hapa khofu mkuu....
TL angejenga hoja zenye kudhihirisha nyerere ni dhaifu lakini kukimbilia kumkashifu yeye binafsi ni kuamsha migogoro kwa wafuasi wa Nyerere...
Ikumbukwe ni hao hao chadema wanaohubiri nyerere ni mtu safi Leo kumtusi vile kutawagharimu mbeleni...
Hii ni kama Leo mtu aache kujadili matendo ya mtume S.A.W na kumtusi hii inaweza amsha jasira za wafuasi wake wakaacha kujadili hoja na kujadili matusi ya mtoa hoja...
Nilikuwa na mtazamo huo mkuu
Shukraan,
Kwa hisani yako naomba tuishie hapo katika hiko kipengele kwa wema maana yule Kenge Nyerere kumfananisha na hoyo mkubwa ulojaribu kunichokonoa naona itakuwa mdahalo tena..!?
Sipingi kwamba hakuwa na mazuri yake la hasha wakallaa lakini twatizama athari zake na wale ambao hawataki ati akosolewe ca'se he was innocent for which/what and how...!?
Huo mfano wako ni sawa na yule alikijisaidia Machakani au wangine twamwita Yesu.
Shukraan kwa kunisikiza nduu yangu japo utaniletea huenda viroja.
Ntarejea.
Sijasema kama Sio Intelligent kabisa bali SIYO intelligent kama ambavyo wengi wenu mnadhania.
Kuhusu kuhusu Hati ya Muungano ingeweza kuletwa bila ya yeye kuongea aliyoongea dhidi ya Mlm.Nyerere hata kama ni ya ukweli kiasi gani, Mtu Intelligent alipaswa kutambua kwamba kuwa dhidi ya Mlm.Nyerere nchi hii utashindwa tu na mwishowe watu watakuupuzia na haijalishi ulikuwa uko sahihi kwa kiasi gani!
Huyo Babu (Mlm.Nyerere) alishawahi na hakuna jinsi mtu anaweza kubadilisha hilo hata ajaribu vipi, hivyo mtu intelligent anapaswa kutambua hilo...Waswahili tunasema Ujanja kuwahi, na yeye basi alisha wahi wengine lazima tukubali tu...
Hakuna kitu km iko,Lissu ana akili kupita Nyerere tena sana tu maana JK aliexist wakati wabongo wengi ni mambumbumbu na siku zake za mwisho alianza kupwaya maana wabongo walianza kumchallenge.....but Lisu anatoa hoja mbele ya wabongo walioelimika na mnamsikiliza kwa hamu na umakini kama mnasubili majibu ya interview!Lissu amejipoteza kwenye siasa za Tanzania kwa kumtusi Nyerere na amezidi kuizamisha chadema kwenye ramani ya siasa za bongo...ni suala la muda tu..subirini upepo upite