Bustani ya Eden ilikuwa wapi?

Bustani ya Eden ilikuwa wapi?

Imeshafika ngorongoro kreta?? Kuna features zote pale waliishi adam na hawa
 
Na usisahau kwamba kabla ya Adam walikuwepo wanefili walioishi nje ya Eden. Adam alivyofukuzwa akaenda kuishi na wanefili. Eden ilikuwa Iraq ya sasa

Mkuu, wanefili ni watu?
Walitokea wapi? waliumbwa?
unataka kusema kuwa kabla ya kuumbwa kwa Adam kuna watu wengine walikuwa wanaishi? hapa duniani ama wapi hasa?

ntashukuru kwa majibu yako ndugu
 
Kabla ya ADAM walikuwepo wengine "pre-adamic humans" au biblia imewaita "gentiles" ambao mpaka kesho wayahudi wanaamini wao pekee ndio uzao wa Adam na sie wengine wote ni pre-adamic humans au watu wa mataifa ambao Mungu aliwakataza wayahudi wasichangamane nao.
Adam alikuwa myahudi na baba wa wayahudi lakini sio baba wa watu wote duniani.

Kama unaamini kitabu cha mwanzo kwenye biblia jiulize swali hili: Kama Adam na Hawa ndio binadamu wa kwanza duniani, wa tatu akiwa Kaini, Je, Kaini baada ya kumuua Abeli alikuwa anawaogopa akina nani kwamba watamuua wakimuona? Unajua kisa cha Kaini kuwekwa alama kwenye paji la uso baada ya kumuua Abeli?

Pia, Kaini alipotoka kwa Adam na Hawa akaenda kuoa, je alioa nani kama hapakuwa na watu wengine "pre-adamic"? Mke wa Kaini alikuwa uzao wa pre-adamics sio uzao wa Adam.

Lakini pia mji ulioitwa mji wa Kaini ulitoa wapi watu wa kuufanya uitwe mji "City of Cain"?
Watu walikuwepo, Adam na Hawa ni waanzilishi wa wayahudi na hizi dini mbili zingine lakini walikuwepo watu wa mataifa ambao hawa uzao wa Adam walikatazwa kuchangamana nao.

Soma j.creation 13 (2):22-30, 1999
Soma j.creation 22 (3):8-13,2000.
Soma assemblyoftrueisrael.com
 
nephil.jpg
View attachment 315127

Giant-Human-Skeletons-Discovered-in-Wisconsin.jpg

maxresdefault.jpg
 
Last edited:
WanaJamii,

Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na huruma kwa kufika siku ya leo. Nimeona leo tuweze kuelemishana kuhusu biblia na maandiko matakatifu.

Mwenyezi Mungu anasema, watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Kusoma biblia ni sehemu ya kujua mambo na kumjua uweza na utukufu wake Mwenyezi Mungu muumbaji.

Swali la leo, ningependa kujua bustani ya Eden ilikuwa wapi katika ulimwengu wa leo? Kwa kifupi tu naweza kusema, wazungu wamepotosha sana khusu hili na kuhusu image halisi ya Mungu wetu pamoja alituumba kutokana na mfano wake; lakni Mungu anaonekana ni mtu mweupe tu.

Kwahyo na mambo mengine nahisi yatakuwa yamepotoshwa kuhusu bibilia tofauti na wenzangu waislam ambao wao vitabu vyao vimebaki kama vilivyo na hadithi zao hazina utofauti na bibilia, tofauti yetu mimi sijui ni wapi!

Hivyo nafungua majadala tujuzane ni wapi bustani ilikuwepo na tutazidi kuulizana maswali pale utata unapokuwa.

Nawakaribisha waislam pia maana wengi wao wanao ufahamu wa kwenye biblia na naomba huu mjadala uwe wa amani..
Mesopotamia, ulimwengu wa leo ni uleule wa jana na juzi.
 
Bustani ya edeni haikuwa bustani ya kuonekana kwa macho au kushukika.bustani ya edeni ni lugha ya fumbo ambayo humaanisha hali au maisha ya usafi na ya kupendeza ambayo mwanadamu aliwai kuyaishi kabla hajamwasi Mungu.katika dunia yetu kuna sehemu iliopo iraki( mesopotania ) ambayo inaitwa edeni.lakini eden ya kwenye biblia haimaanishi hilo eneo lililopo iraki. Kama ulivosema kuwa kunaitajika maarifa ya kimungu ili kuweza kuyaelewa maandiko.neno maarifa kwa kiebrania ni daath na kiratini ni daath ambayo maana yake kwa kiswahili ni njia nyembamba.biblia inavosema njia ya kwenda peponi ni nyembamba. Sasa hio njia nyembamba ndo humaanisha maarifa.na hata kama Yesu alivosema mimi ndo njia alikiwa anamaanisha yeye ndo hayo maarifa ambayo tunakiwa kuyajua ili turithi ufalme.na maarifa hayo pia ndo yalipatikana kwenye mti wa maarifa ambao adamu na eva walikatazwa wasile tunda lake.so ukifanikiwa kujua nn maana ya mti wa maarifa na tunda lake basi itakisaidia kurith ufalme wa Mungu
 
Baada ya adamu kuumbwa ifahamike kuwa hakuwa binadamu kama mimi na ww.adamu ni lugha ya fumbo ambayo hutumika kuwakilisha nguvu za uumbaji ambazo zinapatikana kwenye mwili wa binadamu. Adamu aliumbwa akiwa na nguvu mbili za uumbaji ambazo ni nguvu za kike na kiume.baada ya muda kutokea kwenye ubavu wa adamu akapatikana eva.baada ya kupatikana eva ndo adam na eva wakaumbwa katika miili hii ya nyama kama mm na ww.na kutokea hapo ndo nguvu izo mbili za uumbaji zikatenganishwa na kupata mwanamke na mwanaume.so abari ya adam na eva inabeba fumbo kubwa sana.kwahiyo adamu na hawa sio binadamu wa kwanza bali walitumika kuonyesha tu jinsi gani mimi na wewe tumemuasi Mungu
 
Unajua uongo mwingine sio mzuri adama na Eva walipofukuzwa edeni ndio walizaa mtoto wao wa kwanza sasa utasemaje kulikua na wanefili wakati hawa ndio binadam wa kwanza Na hapa inaonyesha eden haikua dunian ndio maana hawakufikiria kuzaa kabla hawajafukuzwa
 
Kwa fikra zangu Eden ndio Bonde la Ngorongoro ambako wanyama wote hata wale wakali wanaishi na binadamu bila madhara
 
Edeni haikua duniani bana tusidanganyane hapa

Nakubaliana nawe kwa asilimia zote. Hiyo Aden mungu asingeiweka mbali nae kwani walikuwepo watu wake aliowaumba kwa mfano wake na kuwapuliza pumzi yake yaani Adam na Eva. Hivyo kusema Eden ilikuwa mbinguni ni sahihi zaidi. Baada ya kumkosea muumba wao ndio walitupwa duniani. chimbuko la binadamu wote ni hawa watu wawili na kabla ya hapo hakuwepo binadamu mwingine na tusiendelee kupotoshana.
 
Kwahyo Mkuu mbinguni kunaish nyoka Mzee?
 
Edeni ulikuwa Tanzania. Mito minne ni Mto Kagera (kaskazini magharibi, Mto Pangani (kaskazini mashariki), Mto Malagalasi kwa upande wa magharibi na mto rufiji kwa upande wa kusini. Hata fuvu na unyayo wa mtu wa kale vinapatikana Tanzania
Hahah imebidi tu nicheke si ndio wana historia wanasema fuvu la mtu wa kwanza sijui lilipatikana hapa
 
Kabla ya ADAM walikuwepo wengine "pre-adamic humans" au biblia imewaita "gentiles" ambao mpaka kesho wayahudi wanaamini wao pekee ndio uzao wa Adam na sie wengine wote ni pre-adamic humans au watu wa mataifa ambao Mungu aliwakataza wayahudi wasichangamane nao.
Adam alikuwa myahudi na baba wa wayahudi lakini sio baba wa watu wote duniani.

Kama unaamini kitabu cha mwanzo kwenye biblia jiulize swali hili: Kama Adam na Hawa ndio binadamu wa kwanza duniani, wa tatu akiwa Kaini, Je, Kaini baada ya kumuua Abeli alikuwa anawaogopa akina nani kwamba watamuua wakimuona? Unajua kisa cha Kaini kuwekwa alama kwenye paji la uso baada ya kumuua Abeli?

Pia, Kaini alipotoka kwa Adam na Hawa akaenda kuoa, je alioa nani kama hapakuwa na watu wengine "pre-adamic"? Mke wa Kaini alikuwa uzao wa pre-adamics sio uzao wa Adam.

Lakini pia mji ulioitwa mji wa Kaini ulitoa wapi watu wa kuufanya uitwe mji "City of Cain"?
Watu walikuwepo, Adam na Hawa ni waanzilishi wa wayahudi na hizi dini mbili zingine lakini walikuwepo watu wa mataifa ambao hawa uzao wa Adam walikatazwa kuchangamana nao.

Soma j.creation 13 (2):22-30, 1999
Soma j.creation 22 (3):8-13,2000.
Soma assemblyoftrueisrael.com

Ni baada ya maelezo yako murua umenikumbusha maandiko na sasa nabadili msimamo wangu kwenye mchango niliochangia kwenye uzi huu huu kuwa kabla ya Adam na Eva hawakuwepo binadamu wengine walioishi. Ila nabaki na msimamo ule ule kuwa Eden haikuwepo duniani bali mbinguni aliko muumba. Ni baada ya kumkosea mwenyezi mungu ndipo alipowatupa huku duniani na kuwapa adhabu kali ya kulima na kutobolewa na miiba na Eva kuzaa kwa uchungu. Ubarikiwe sana.
 
katika kusoma kwangu biblia nililuona hili kuwa watu gani walikuwa upande wa east of eden?
na kwanini Mungu alimwekea cain alama ili asiuaawe? niliyaona haya maswali sema sikujua nianzie wapi.

je Mungu ni wa wayahudi tu? inakuje wayahudi wanatajwa wao pekee yao? au nakosea
 
Back
Top Bottom