Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
bustani ya eden iko IRAQ,,, kando kando ya mto Tigris and Ephrates,..
hakika ipo iraq
bustani ya eden iko IRAQ,,, kando kando ya mto Tigris and Ephrates,..
Edeni ilikuwa Tanzania.
Kwanza Olduvai Gorge, alipopatikana mwanadamu wa kale kabisa.
Pili Madini aina zote yapo Tanzania, yaliwekwa na Mungu kuhakikisha kila hitaji la madini linapatikana.
Tatu, uoto wa aina karibu zote za maua, ukienda Kitulo Makete utapata jibu.
Nne vijito kila kona ili kuhakikisha msosi si issue kabisa.
Tano Wanyama wa aina nyingi tu, walioumbwa kumpa bin-adam kampani, huwezi kuwakuta kwa mamia na aina nchi nyingine.
Sita Amani, Tanzania unaweza kumsamehe hata yule aliyeiba kura na kuwa kiongozi, hata kumdhuru hufikiri. Utapata wapi duniani, amani kama Tanzania.
Unajua mkuu hapo zaman kabla ya mungu kumpa musa zile sheria 10 mtoto alikua na uwezo wa kuzaa na mama yake Dada yake bila kujali mpaka pale mungu alipompa Musa sheria zake na kukataza jambo hiloBiblia inapomtaja seth,Habili na Kain.haimaanishi kuwa watoto wa kike hawakuwepo.Hao watu baadae walizaana na kuwa koo kubwa.
Kwa mujibu wa maandiko, bustani hii ilikuwa katikati ya mito miwili, Euphrates na Tgris. Kwa maana hii, bustani hii ilikuwa (bado ipo?) nchini Iraq.WanaJamii,
Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na huruma kwa kufika siku ya leo. Nimeona leo tuweze kuelemishana kuhusu biblia na maandiko matakatifu.
Mwenyezi Mungu anasema, watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Kusoma biblia ni sehemu ya kujua mambo na kumjua uweza na utukufu wake Mwenyezi Mungu muumbaji.
Swali la leo, ningependa kujua bustani ya Eden ilikuwa wapi katika ulimwengu wa leo? Kwa kifupi tu naweza kusema, wazungu wamepotosha sana khusu hili na kuhusu image halisi ya Mungu wetu pamoja alituumba kutokana na mfano wake; lakni Mungu anaonekana ni mtu mweupe tu.
Kwahyo na mambo mengine nahisi yatakuwa yamepotoshwa kuhusu bibilia tofauti na wenzangu waislam ambao wao vitabu vyao vimebaki kama vilivyo na hadithi zao hazina utofauti na bibilia, tofauti yetu mimi sijui ni wapi!
Hivyo nafungua majadala tujuzane ni wapi bustani ilikuwepo na tutazidi kuulizana maswali pale utata unapokuwa.
Nawakaribisha waislam pia maana wengi wao wanao ufahamu wa kwenye biblia na naomba huu mjadala uwe wa amani..
Ule mti wa katikati wa matunda ya mema na mabaya utakuwepo weli mpaka leobustani ya eden iko IRAQ,,, kando kando ya mto Tigris and Ephrates,..
Na hilo suala la kuzaliana na kuijaza dunia linachanganya. Maandiko yanasema Adam na Eva waliwazaa Kain na Abel ambao wote ni wa kiume. baadaye kaini akamuua Abel. Hivi waliongezekaje mpaka tukawa wengi kiasi hiki wakati mwanamke pekee alikuwa Eva? Na je waafrika, wachina, wakorea na wajapani au wahindi walitokeaje katika uzao mmoja. kwa kifupi ni kuwa tofauti za rangi zilikujaje wakate wote ni uzao wa Adam na Eva/Hawa?Mkuu nimepitia comment nying naona kuwa eden alikuwa hapa duniani itakuwa ilikuwa karibu na mungu ndio mahaana awa wakina adamu na eva alipowafukuza na kuwambia nendeni mkaijaze dunia mzima inaoneka hapakuwepo watu Bali hao waliofukuzwa ndo wakaanza kuzaliana hapa dunia na ningependa kujua juu ya watu weusi walipatikane ikionyesha kuwa robo Tatu ya dunia ni weupe hapo napata utata kwann sote tusingekuwa rangi moja???
Sasa kwanini huko ndiko kwenye vita, mauaji na vurugu zote za mateso kwa binadamu? Hao watu bora wangezaliwa na kuishi TanganyikaIRAQ ni nchi takatifu, hata Yesu inasadikika aliishi hapo, manabii karibia wote waliishi hapo, ndio chimbuko la Adam na Eva.
Kumbe ilikuwa wapi ndugu? Ni majadiliano.Edeni haikua duniani bana tusidanganyane hapa
Mkuuu Tanganyika! be serious bana! Tnganyika hii hii ya chama?Sasa kwanini huko ndiko kwenye vita, mauaji na vurugu zote za mateso kwa binadamu? Hao watu bora wangezaliwa na kuishi Tanganyika