tokomea
Senior Member
- Nov 25, 2015
- 193
- 87
Ha haaaa kweli mkuu tena ipo ni maeneo ya ngorongoro ndo hata fuvu la mtu wa kale lime patikana pale!!!Ilikuwa Tanzania. we uoni nchi ilivyokuwa na maajabu ya kila namna??.Mpaka raia wake ni waajabu.
Ha haaaa kweli mkuu tena ipo ni maeneo ya ngorongoro ndo hata fuvu la mtu wa kale lime patikana pale!!!Ilikuwa Tanzania. we uoni nchi ilivyokuwa na maajabu ya kila namna??.Mpaka raia wake ni waajabu.
Ha ha ha! Umenifurahisha mkuu. Kuna Theological theories nyingi mno zinazohusu "Creation/uumbaji" na wengi wanachanganyikiwa kwa kusoma hizo. Cha msingi, ni kurudi kujifunza kwa Mungu mwenyewe kupitia Roho wake. Otherwise hii discussion huwa haina MWISHO....wewe unakaribia kuwa sahihi;bustani ya eden ni uzuri wa mwili wa mwanamke,na tunda ndio lile tunalifahamu wote.Acheni habari za mto tigris,iraq, sijui na nini.
wakristo mmefichwa vitu vingi sana kwenye biblia, iko hivi kuna malaika flani huko mbinguni(kwa mujibu wa biblia, binafsi siamini) waliwatamani wale wanawake wa enzi zile hivyo wakashuka duniani na kufanikiwa kutembea nao wale wanawake, ukawa mchezo wao kila mara, hatimaye wanawake wakapata ujauzito na ndipo wakazaliwa wanefil, watu sio watu, malaika sio malaika kiufupi walikuwa mijitu tena ile ya ajabuHapa sasa tuamini kipi....Adamu na Hawa sio wa mwanzo na katika uumbaji na ina maana Mungu aliangalizia kwa kwa hao wanefili umbo la mwanadamu na sio ule usemi kwa mfano wake yeye akatuumba sisi wanadamu?
wakristo mmefichwa vitu vingi sana kwenye biblia, iko hivi kuna malaika flani huko mbinguni(kwa mujibu wa biblia, binafsi siamini) waliwatamani wale wanawake wa enzi zile hivyo wakashuka duniani na kufanikiwa kutembea nao wale wanawake, ukawa mchezo wao kila mara, hatimaye wanawake wakapata ujauzito na ndipo wakazaliwa wanefil, watu sio watu, malaika sio malaika kiufupi walikuwa mijitu tena ile ya ajabu
mimi naamini Bustani ya Eden ilikuwa Tanzania.Wapi in Tanzania?, sina uhakika bali naweza kusema ziwa Victoria ni moja ya reference ta maziwa au mto unaotoa majinkwenda mpaka huko north africa etc.Bustani ya edeni ilikuwepo pale ngorongoro huoni ukienda pale unakutana na viumbe vyote wewe unavyovifahamu na mandhari nzur ya kuvutia,,,binadamu wanaishi na wanyama mwitu pamoja bila kudhuriana ,,hata safina ya nuhu baada ya gharika ilifika pale
Mkuu hoja bado inakuja hao wanawake walitoka wapi nani muumbaji wao....na wakati malaika wanakuja kupiga poka duniani Mungu na akina Gabriel ,Rusiffer walikuwa wapi na hao malaika dushe walilipata wapi la kufanyia hayo maoka yao mana tunajua malaika ni kama kimiminika gesi wala siyo maada?
hiyo yote ilitokea wakati adam na hawa washaumbwa na washazaa sana tu, kwani unafikiri malaika hawezi kuja kwa mwili wa kawaida, refer siku sara alipotabiriwa ujauzito, hivi vitu mbona vipo katika biblia yako au husomi mkuuMkuu hoja bado inakuja hao wanawake walitoka wapi nani muumbaji wao....na wakati malaika wanakuja kupiga poka duniani Mungu na akina Gabriel ,Rusiffer walikuwa wapi na hao malaika dushe walilipata wapi la kufanyia hayo maoka yao mana tunajua malaika ni kama kimiminika gesi wala siyo maada?
no mkuu, hao manefil hawakujamiiana na wanawake bali ni zao la wale malaika waasi waliowatamani wanawake na kushuka kama watu then wakajamiiana nao, hapo ndo wakazaliwa hao manefilBiblia haiseminsana kuhusu hawa watu au wanaitwa higher beings Nephils baada ya gharika kuu ya maji. Inasemakana hawa watu walikuwa ni mjitu wakubwa sana kuwahi kutokea tuseme mtu wa kawaida mwenye utefu wa futi 6ft. kwa hawa majitu yalikuwa karibu mara sita ya mtu. kwa maumbile ya mwanamke au mwanadamu ni ngumu kusema walijamiaana ila inasemekana,wanawake wanadamu walipata mimba kwa miujiza kama ya mariam mama yesu. Baada ya hapo hakuna neno lilioandikwa kuhusu hawa Nephilim
Acha kudanganya watu kukaa kimya ni busara piaWalikuwepo watu wengine mbali na hao wanaotajwa kwenye biblia, tena kabla yao Adam na Hawa.
Adam na Hawa ni kama miaka 6000 tu nyuma lakini mtu alikuwepo miaka milioni kadhaa kabla yao.
Pia binti wa Adam (Dina) alizaa na mnefili. Na watoto wengi wa kiume vizazi vya Adam walizaa na wanefili na inasemekana ilimchukiza Mungu.
hahahh jamaa ana kamba huyoAcha kudanganya watu kukaa kimya ni busara pia
Sio kwa miujiza mkuu bali malaika walivaa miili ya kibinadamu na kulala wa wana wa wanadamu wakapatikana hao nephilian tafuta kitabu cha enockBiblia haiseminsana kuhusu hawa watu au wanaitwa higher beings Nephils baada ya gharika kuu ya maji. Inasemakana hawa watu walikuwa ni mjitu wakubwa sana kuwahi kutokea tuseme mtu wa kawaida mwenye utefu wa futi 6ft. kwa hawa majitu yalikuwa karibu mara sita ya mtu. kwa maumbile ya mwanamke au mwanadamu ni ngumu kusema walijamiaana ila inasemekana,wanawake wanadamu walipata mimba kwa miujiza kama ya mariam mama yesu. Baada ya hapo hakuna neno lilioandikwa kuhusu hawa Nephilim
kwa kuongezea wakati gharika likiendelea wale malaika wazinifu walitaka kurudi mbinguni but nafasi yao haikuwepo tena hvyo baba mwenyenzi muumba kupitia gabrieli aliwapeleka kuleee ktk shimo la giza hvyo paka waleo wanasubiri moto tuwakristo mmefichwa vitu vingi sana kwenye biblia, iko hivi kuna malaika flani huko mbinguni(kwa mujibu wa biblia, binafsi siamini) waliwatamani wale wanawake wa enzi zile hivyo wakashuka duniani na kufanikiwa kutembea nao wale wanawake, ukawa mchezo wao kila mara, hatimaye wanawake wakapata ujauzito na ndipo wakazaliwa wanefil, watu sio watu, malaika sio malaika kiufupi walikuwa mijitu tena ile ya ajabu
mkuu wakristo wengi ni wa jumapili aiseeSio kwa miujiza mkuu bali malaika walivaa miili ya kibinadamu na kulala wa wana wa wanadamu wakapatikana hao nephilian tafuta kitabu cha enock
Una Maelezo mazur lkn hauna isibitsho mkuu. Kwahyo hatuamin maneno yakokwa kuongezea wakati gharika likiendelea wale malaika wazinifu walitaka kurudi mbinguni but nafasi yao haikuwepo tena hvyo baba mwenyenzi muumba kupitia gabrieli aliwapeleka kuleee ktk shimo la giza hvyo paka waleo wanasubiri moto tu
soma book of enochUna Maelezo mazur lkn hauna isibitsho mkuu. Kwahyo hatuamin maneno yako