eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Tofauti za rangi na kabila zilikuja wakati wa mnara wa babel hapa watu walikua wanaongea luga 1 na watu walikua kitu kimoja lakini kwa kua lengo lao ni kutengeneza mnara wa kufika mpaka mbinguni na uwexo wa kujenga walikua nao mungu akaamua kuwafanya wasielewane kwa luga na rangi zao yaani kila MTU akaongea luga yake mpya ambayo mungu alimpa na wakawa hawatambuani kutokana na rangi zao kubadilikaNa hilo suala la kuzaliana na kuijaza dunia linachanganya. Maandiko yanasema Adam na Eva waliwazaa Kain na Abel ambao wote ni wa kiume. baadaye kaini akamuua Abel. Hivi waliongezekaje mpaka tukawa wengi kiasi hiki wakati mwanamke pekee alikuwa Eva? Na je waafrika, wachina, wakorea na wajapani au wahindi walitokeaje katika uzao mmoja. kwa kifupi ni kuwa tofauti za rangi zilikujaje wakate wote ni uzao wa Adam na Eva/Hawa?