Bustani ya Eden ilikuwa wapi?

Bustani ya Eden ilikuwa wapi?

Na usisahau kwamba kabla ya Adam walikuwepo walioishi nje ya Eden. Adam alivyofukuzwa akaenda kuishi nao. Eden ilikuwa Iraq ya sasa
 
Last edited:
Na usisahau kwamba kabla ya Adam walikuwepo wanefili walioishi nje ya Eden. Adam alivyofukuzwa akaenda kuishi na wanefili. Eden ilikuwa Iraq ya sasa[/QUOTEsasa wewe chanzo cha watu si Adam sasa kabla ya ya Adam kufukuzwa hao watu walitoka wapi maana walipofukuzwa ndio wakazaa mtoto kaini na baadae abeli
 
This is a major consideration that needs to be taken into account. The worldwide, catastrophic Flood of Noah’s day would have destroyed the surface of the earth. If most of the sedimentary strata over the earth’s surface (many thousands of feet thick in places) is the result of this global catastrophe as creationists believe, then we would have no idea where the Garden of Eden was originally located—the earth’s surface totally changed as a result of the Flood.

Not only this, but underneath the region where the present Tigris and Euphrates Rivers are located there exists hundreds of feet of sedimentary strata—a significant amount of which is fossiliferous. Such fossil-bearing strata had to be laid down at the time of the Flood.

Therefore, no one can logically suggest that the area where the present Tigris and Euphrates Rivers are today is the location of the Garden of Eden, for this area is sitting on Flood strata containing billions of dead things (fossils). The perfect Garden of Eden can’t be sitting on billions of dead things before sin entered the world!

This being the case, the question then is why are there rivers named Tigris and Euphrates in the Middle East today?

chapter1-map.gif

Many wrongly conclude that the Garden of Eden was somewhere in the Middle East based on the names of the rivers in Genesis 2.

In my native country of Australia, one will recognize many names that are also used in England (e.g., Newcastle). The reason is that when the settlers came out from England to Australia, they used names they were familiar with in England to name new places/towns in Australia.

Another example is the names given to many rivers in the United States. There is the Thames River in Connecticut, the Severn River in Maryland, and the Trent River in North Carolina—all named for prominent rivers in the UK.

In a similar way, when Noah and his family came out of the ark after it landed in the area we today call the Middle East (the region of the Mountains of Ararat), it would not have been surprising for them to use names they were familiar with from the pre-Flood world (e.g., Tigris and Euphrates), to name places and rivers, etc., in the world after the Flood.

Ultimately, we don’t know where the Garden of Eden was located. To insist that the Garden was located in the area around the present Tigris and Euphrates Rivers is to deny the catastrophic effects of the global Flood of Noah’s day, and to allow for death before sin.
 
WanaJamii,

Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na huruma kwa kufika siku ya leo.Nimeona leo,tuache siasa za magufuli kidogo na tuweze kuelemishana ni kuhusu biblia na maandiko matakatifu.
Mwenyezi Mungu anasema,watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa.Kusoama biblia ni sehemu ya kujua mambo na kumjua uweza na utukufu wake Mwenyezi Mungu muumbaji.

Swali la leo,ningependa kujua bustani ya eden ilikuwa wapi katika ulimwengu wa leo.Kwa kifupi tu naweza kusema,wazungu wamepotosha sana khusu hili na kuhusu image halisi ya Mungu wetu pamoja alituumba kutokana na mfano wake;lakni Mungu anaonekana ni mtu mweupe tu.Kwahyo na mambo mengine nahisi yatakuwa yamepotoshwa khusu bibilia tofauti na wenzangu waislam ambao wao vitabu vyao vimebaki kama vilivyo na hadithi zao hazina utofauti na bibilia,tofauti yetu mimi sijui ni wapi.

Hivyo nafungua majadala tujuzane ni wapi bustani ilikuwepo na tutazidi kuulizana maswali pale utata unapokuwa.Nawakaribisha waislam maana wengi wao wanao ufahamu wa kwenye biblia na naomba huu mjadala uwe wa amani?
Ilikuwa Mesopotamia ama Iraq ya leo
 
...bado mpaka leo ipo katikati ya mapaja ya mwanamke,na tunda lililoliwa ndio lilee.. tunaloendelea kujitafunia mpaka wa leo!
swali jingine tafazali..
 
MAANDISHI YA KIDINI YANAPOINGIZWA JUKWAA TOFAUTI NA LA DINI YANASUMBUA. DINI NI IMANI NA HAIPO KWA WOTE. MAJIBU YA KIRAHISI YANAKUPELEKA KWENYE IMANI. UKISHINDWA KUFIKIRI SANA UNAINGIA UPANDE WA KUAMINI. NA NI HAKI YAKO.
 
Bustani ya Edeni ni "biblical parable" iliyotumika to describe the "ancient beatiful earth" kabla ya uasi wa Ibilisi na then wanadamu

Kwa Kiebrania neno "Adeni/Edeni" linamaanisha "sehemu nzuri na yenye kuvutia mno." Kutokana na uzuri huo, dunia ilifananishwa na bustani. Sote twajua namna bustani zinavyopendeza na zilivyo sehemu za utulivu na amani.

Kumbuka mwandishi wa kitabu cha Mwanzo, Musa hakuwepo kipindi cha uumbaji ila alipata maono kutoka kwa Mungu. Kama ilivyo kwa kitabu cha Ufunuo wa Yohana, Danieli, Ezekieli, Zekaria nk, kitabu cha Mwanzo kina portions za apocalyptic writings (mafumbo, alama, namba nk). Kwa mfano: Tunda la mti wa katikati, mti wa ujuzi wa mema na mabaya, mti wa uzima, nyoka nk... Haya ni sehemu ya mafumbo hayo.

Jiulize kama Edeni ingekuwa ni sehemu moja duniani, iko wapi sasa? Mungu alipowafukuza watu kutoka Edeni ile na kuweka walinzi alimaanisha nini?

Nikipata muda nitakuja kuelezea.
...wewe unakaribia kuwa sahihi;bustani ya eden ni uzuri wa mwili wa mwanamke,na tunda ndio lile tunalifahamu wote.Acheni habari za mto tigris,iraq, sijui na nini.
 
...bado mpaka leo ipo katikati ya mapaja ya mwanamke,na tunda lililoliwa ndio lilee.. tunaloendelea kujitafunia mpaka wa leo!
swali jingine tafazali..
Acha uongo mkuu eden iko mbinguni
 
Kwanza wewe ni Mkristo, acha upotoshaji. Sitaki mijadala ya kijinga kuelemishana na mtu aliyejiandaa kubisha. Unacho taka si waislamu wakujibu, basi ungeenda misikitini ujibiwe.
 
Na usisahau kwamba kabla ya Adam walikuwepo wanefili walioishi nje ya Eden. Adam alivyofukuzwa akaenda kuishi na wanefili. Eden ilikuwa Iraq ya sasa

Mkuu mimi hapa bible ndo uwa inanipa wakati mgumu....vitabu vinasema binadamu wa kwanza ni Adamu na Hawa.....wewe unasema kuna watu walikuwa wanaitwa wanefili.....sasa hao akina Adamu kuwa wa kwanza wanamanisha nini....na kweli wanavyozengua Kaini alipo muua ndugu yake Abel Mungu alimrahani na kusema kila atakapobkwenda watamfukuza na atakuwa ni wakutangatanga......sasa hapo fikilia katika uumbaji ni watu wanne tu.....hao wengine wametoka wapi watakao mfukuza huyo muuaji?
 
Walikuwepo watu wengine mbali na hao wanaotajwa kwenye biblia, tena kabla yao Adam na Hawa.
Adam na Hawa ni kama miaka 6000 tu nyuma lakini mtu alikuwepo miaka milioni kadhaa kabla yao.
Pia binti wa Adam (Dina) alizaa na mnefili. Na watoto wengi wa kiume vizazi vya Adam walizaa na wanefili na inasemekana ilimchukiza Mungu.
 
Hapa sasa tuamini kipi....Adamu na Hawa sio wa mwanzo na katika uumbaji na ina maana Mungu aliangalizia kwa kwa hao wanefili umbo la mwanadamu na sio ule usemi kwa mfano wake yeye akatuumba sisi wanadamu?
 
Toa ushahid mkuu.. Maelezo yako hayana ushaid
 
Hapa sasa tuamini kipi....Adamu na Hawa sio wa mwanzo na katika uumbaji na ina maana Mungu aliangalizia kwa kwa hao wanefili umbo la mwanadamu na sio ule usemi kwa mfano wake yeye akatuumba sisi wanadamu?

Nakupa mfano:
Mbwa mwanzoni hakuwa mnyama wa kufugwa lakini mbwa wa kwanza kufugwa haimaanishi ndiye mbwa wa kwanza kuwepo duniani kisa ndiye tunayejua habari zake
 
Back
Top Bottom