Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

Nyani Ngabu,
1. Mimi nimehama Tanzania na sirudi. Hata likizo siku hizi nakwenda Turks and Caicos. Mambo ya Tanzania ongea nao walio Tanzania. Unataka contacts zao?

2. Mimi siamini katika mali za urithi, na hivyo sitarithi chochote katika familia yetu, kwa maamuzi yangu binafsi. Na hizo nyumba zimeuzwa wakati mimi mtu mzima najitegemea nina masiha yangu Marekani, sijafaidika nayo kihivyo, mimi ndiye msaidizi si msaidiwa.

3. Moja ya sababu zilizonifanya niondoke Tanzania ni mtu kuhusishwa na familia, unachofanya chochote kwa uwezo unaonekana umefanya kwa familia.

4. Bahati mbaya nimezungumzia familia yangu, lakini kawaida sipendi, nimelazimishwa kufanya hivyo kwa sababu mtu kanisema namchukia Magufuli.Bila ushahidi.Njia za kumkanusha ni chache sana.Hii ni mojawapo.

5. Kiingiacho mjini si haramu, kila mtu mwenye status husika kauziwa nyumba za serikali, sasa ulitaka familia yangu ikatae? Familia yangu ingetaka ufisadi ningekuwa naongelea Swiss bank accounts za mamilioni mengi ya dola, si haya ninayoyaongelea.

6. Kama Mkatoliki, simchukii mtu, nachukia ubaya.

7. The devil is in the details.Ufisadi ni nini? Mtu aliyekuwa vastly underpaid kwa kiwango cha kazi yake, na hakushawishika kuiba, akipata nafasi ya kupata nyumba anapostaafu, nyumba itakayofanya kazi ya maisha yake iwe na maana, utasema ni fisadi?

8. Magufuli kuingilia mchakato kunaweza kuwa na ubaya kwa watu waliopata nyumba bila stahiki, mtu mwenye stahiki mchakato ukiingiliwa au usiingiliwe matokeo yake hayabadiliki.

9. Anzisha mjadala wa nyumba za watu wote waliouziwa zirudishwe. Mimi hata siwezi kukupinga. We do not depend on that house.

10. There are some ghetto secrets I can't rhyme in this song.
 
1. Mimi nimehama Tanzania na sirudi. Hata likizo siku hizi nakwenda Turks and Caicos.

Okay.

2. Mimi siamini katika mali za urithi, na hivyo sitarithi chochote katika familia yetu, kwa maamuzi yangu binafsi.

Sawa. Siwezi kupinga unachokiamini.

3. Moja ya sababu zilizonifanya niondoke Tanzania ni mtu kuhusishwa na familia, unachofanya chochote kwa uwezo unaonekana umefanya kwa familia.

Sawa.

4. Bahati mbaya nimezungumzia familia yangu, lakini kawaida sipendi, nimelazimishwa kufanya hivyo kwa sababu mtu kanisema namchukia Magufuli.

Sidhani kama umelazimishwa. Ni umejitolea. Na hiyo habari ya nyumba yenu ya dola milioni tatu huwa unairudia rudia sana. Hivyo sidhani kama huwa unalazimishwa. Huko ni kujitolea kuelezea mambo yako/ yenu binafsi.

Mtu akisema unamchukia, inatosha tu kusema ‘humchukii’ bali unasimamia kanuni!

Sasa unasema humchukii Magufuli kwa sababu kawapa nyumba ya dola milioni tatu, nyumba ambayo imeuzwa kiufisadi. Na wewe upo hapa unapinga ufisadi.

Na moja ya sababu yako ya kutokumchukia Magufuli ni yeye kuwapa hiyo nyumba [umesema mwenyewe hivyo], haiingii akilini kabisa.

Unapinga ufisadi humu halafu unasema Magu kawapa nyumba hivyo huwezi kumchukia.

No bueno. Can’t have it both ways.

5. Kiingiacho mjini si haramu, kila mtu mwenye status husika kauziwa nyumba za serikali, sasa ulitaka familia yangu ikatae?

Ndiyo.

Kama mali si halali, kwa nini mtu uikubali? Ukiikubali maana yake ni kwamba umebariki jinsi ilivyopatikana. Na kama umebariki ilivyopatikana basi huna mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi kama vile Magufuli asivyo na mamlaka ya kimaadili ya kupigana na ufisadi ikiwa yeye ndiye aliyeshiriki katika moja ya mambo ya kifisadi ya serikali aliyokuwa akiitumikia.

Familia yangu ingetaka ufisadi ningekuwa naongelea Swiss bank accounts za mamilioni mengi ya dola, si haya ninayoyaongelea.

Okay.

6. Kama Mkatoliki, simchukii mtu, nachukia ubaya.

Naam. Kwa kufuata mantiki hiyo hiyo, basi hata matunda ya ubaya uyachukie.

Nyumba iliyopatikana kiufisadi ulipaswa kuikemea. Siyo kuifanya iwe kielelezo cha wewe kutokumchukia aliyewapa hiyo nyumba.
 
Bado hujasema amelifanyia nini Taifa, ulichokisema hapa hata walimu wengi wa chekechea hukifanya. Wanaletewa mtoto hajui kusoma, wanamfundisha kusoma na kutuandaa kuwa tulivyo Leo.
Vipi Ali amefanya lipi kubwa zaidi ya walimu hawa watukufu wa chekechea na darasa la kwanza, jambo tofauti kuliko hats Remmy Ongara, kuliko Mpemba wa Mpemba effect, kuliko Jackson Kalindimya?
Habari nzima ya "kulifanyia nini taifa" inazidisha umasikini tu.

Inazidisha watu wanaosubiri kufanyiwa na wenzao.

Mimi mtu akiwa roke model enterpreneur mpaka hapo kafanya kubwa sana.

Kawapa wengine swali.

Mufuruki kaweza. Si mzungu, si Muhindi.

Nyie wengine mnashindea nini?

Tofauti na hao walimu, Mufuruki hakusema tu, katenda.

Ni mfanyabiashara mkubwa aliyeanzisha Computer Consultancy kwa level ya kimataifa Tanzania.

Mimi si msemajinwake na wala sina wajibu wa kukueleza.

Google is your friend

If you know, you know. If you don't, it's also fine.
 
The man has gone but left a sour taste to me!!!I remember R. mengi wrote that nyerere regime fought against native rich men and empowered Asian richmen in our country!thats why bakhressa,patel,mo dewji and even manji are alive but mengi,ruge and now mufruki are gone!!!WHAT MESSAGE DOES THIS REGIME SEND TO A YOUNG NATIVE BUSSINESSMAN?????I FEAR!!!!
Mengi alikuwa mzee wa miaka 77 wakati anafariki umri ambao Nyerere aliondoka duniani.

Ruge alikuwa na matatizo ya kiafya.

RIP Mufuruki simjui vizuri lakini ni maradhi yale yale.

Sio kila kifo atafutwe mchawi vifo vingi ni mpango wa Mungu.
 
Nyani Ngabu, Tofauti yako weee na mimi, mimi sitaki kutoa statement bila logical explanation.

Wewe unakubali hilo.

Ndiyo maana mimi naona sijafanya sawa nikisema tu "simchukii".

Nakupa sababu.

Wewe unaona kusema tu simchukii tosha.

Hao wanaosema namchukia, wanaweza kuthibitisha hilo?
 
Kiranga,

Hao wanaosema hivyo si wanasema kwa hisia tu.

Wao wakisema wewe unamchukia Magufuli na wewe unaweza kusema ‘wao wanampenda’.

Lakini mimi ukinipa sababu ya wewe kutokumchukia Magufuli kuwa ni yeye kuipa familia yako nyumba ya kifisadi, kwangu haiingii akilini kabisa.

Just think about it for a minute. There is a logical contradiction there.
 
The man has gone but left a sour taste to me!!!I remember R. mengi wrote that nyerere regime fought against native rich men and empowered Asian richmen in our country!thats why bakhressa,patel,mo dewji and even manji are alive but mengi,ruge and now mufruki are gone!!!WHAT MESSAGE DOES THIS REGIME SEND TO A YOUNG NATIVE BUSSINESSMAN?????I FEAR!!!!
Dah! ujamaa ni nuksi
 
Kwa hiyo huyu jamaa ndio ametuingiza chaka kwenye maviwanda hewa!!!

Ni balaaaaaa!
 
7. The devil is in the details.Ufisadi ni nini? Mtu aliyekuwa vastly underpaid kwa kiwango cha kazi yake, na hakushawishika kuiba, akipata nafasi ya kupata nyumba anapostaafu, nyumba itakayofanya kazi ya maisha yake iwe na maana, utasema ni fisadi?

Tukitumia hoja yako hii kama ndo kipimo basi hakutakuwa na fisadi na hakutakuwa na ufisadi Tanzania!

8. Magufuli kuingilia mchakato kunaweza kuwa na ubaya kwa watu waliopata nyumba bila stahiki, mtu mwenye stahiki mchakato ukiingiliwa au usiingiliwe matokeo yake hayabadiliki.

Kuingilia mchakato ni najisi tosha ya kulifanya zoezi zima liwe batili.

Mchakato haupaswi kunajisiwa.

9. Anzisha mjadala wa nyumba za watu wote waliouziwa zirudishwe. Mimi hata siwezi kukupinga. We do not depend on that house.

Please don’t get me wrong. It’s not an attack against you.

Nimeona tu kuna logical inconsistency katika unachokisema.
 
Mengi alikuwa mzee wa miaka 77 wakati anafariki umri ambao Nyerere aliondoka duniani.

Ruge alikuwa na matatizo ya kiafya.

RIP Mufuruki simjui vizuri lakini ni maradhi yale yale.

Sio kila kifo atafutwe mchawi vifo vingi ni mpango wa Mungu.
Acha kutulisha matango pori!!!praise team!!!Ruge vs konda,mengi suporting membe foi presidency,mufuruki vs sera ya viwanda bila malighafi ya kilimo,anauliza kilimo kwanza kiko wapi ili kusapoti viwanda??????
 
binafsi nilinufaika na mawazo ya Marehemu Ali Mfuruki, nilikuwa namsikiliza sana alipo kuwa akizungumza ktk semina mbalimbali. ni mtu aliye toa mawazo yake kwa uwazi na ukweli bila chembe ya unafiki.
Mungu ailaze Roho yake mahala pema Peponi. ameen.
 
Zitto,
Huu ndo upuuzi nisemao kila siku kwa kila mtu kuandika historia isiyoonesha uovu wake ktk jamii. Bahati mbaya uovu huo huwa ndo chanzo cha mitaji lakini mashabiki kama Zitto huita maono na ushujaa wa kibiashara.

Imenibidi Nirudie msg hii baada ya kusikiliza clip inayoonesha Mufuruki hakuweza hata kusuruhisha mgogoro wa kifamila! Is this a man we hail for his successful bussiness? Siamini kwamba mama mzazi hakuweza hata kusaidiwa na mtu huyu. Pathetic!
 
The man has gone but left a sour taste to me!!!I remember R. mengi wrote that nyerere regime fought against native rich men and empowered Asian richmen in our country!thats why bakhressa,patel,mo dewji and even manji are alive but mengi,ruge and now mufruki are gone!!!WHAT MESSAGE DOES THIS REGIME SEND TO A YOUNG NATIVE BUSSINESSMAN?????I FEAR!!!!
Fallacy!!
 
Mkuu umenifikirisha sana, hizi mbinu hata Putin amezitumia kustawisha utawala wake, eliminate matajiri tengeneza matajiri loyal kwako. Lakini sijui kama hii itafaa kwetu, labda kwa kuwa tumetoka kwenye mfumo wa ujamaa,
Huenda mshauri mkuu wa awamu hii anacopy na kupaste toka Russia

Eliminate matajiri, very primitive approach
 
Kiranga,
Watu wanataka tu kufahamu Ali kafanya nini hasa mpaka a stand out of crowd miongoni mwa watanzania wengine, kwa uchache hao niliowataja. Nashangaa inakuwaje rahisi kumsifia sana lakini inakuwa vigumu kuzibainisha sifa zake ainishi. Unaweza kudhani unajua kwa vile tu umelishwa kichwani mwako unachokiamini ni maarifa.

Kazi inakuja pale unapotakiwa kutumia kichwa chako katika mazingira tofauti kidogo ma Yale tuliyomezeshwa. Kwangu Ali kafanya mini no genuine question ili watanzania wengine tusomfahamu tusheherekee maisha yake. Those who real know, find it easy to express and explain what they know
 
Mbona hujajibu maswali yake aliyouliza? Kweli hafahamu ABC zake, wewe unazifahamu jibu maswali ya msingi aliyouliza. Maswali yake yanawakilisha kiu ya wengi. Acha kubangaiza, jibu hoja

Tatizo kaleta ujuaji, angekuwa anahitaji elimu asingeleta kebehi za kijinga hivi na kutomkemea ni kumhujumu marehemu.
 
Back
Top Bottom