Dreaming? Sema ni wapi barabara ya kutoka mkoa kwenda mkoa au wilaya na wilaya ipo vile.Kwa watu wanaoishia mijini tu watakuwa upande wako.
Kwa watu wanaoishia mijini tu watakuwa upande wako.
20 Dec 2018
Barabara kuu Rusumo, Kabanga Lusahunga Biharamulo Tanzania
Baadhi ya madereva wa magari ya mizigo wanaotumia barabara ya Lusahunga wilayani Biharamulo hadi Rusumo na Kabanga wilayani Ngara mkoani Kagera wameiomba serikali kukarabati barabara hiyo kupunguza uharibifu wa magari yao
Barabara kuu Mloka wilayani Rufiji mkoani Pwani, Tanzania
22 Mar 2020
Mawasiliano kati ya wananchi wa kijiji cha kipo na Mloka wilayani Rufiji mkoani Pwani ambavyo ni kitovu kikuu cha njia ya magari makubwa ya kusafirisha vifaa kuelekea kwenye mradi wa umeme bwawa la Mwalimu Nyerere yamekosekana kwa zaidi ya siku kumi sasa baada ya barabara kuharibika vibaya kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchi nzima na kusababisha mafuriko ya mto Rufiji.
Nyie wa mjini mko mnafikiri nchi nzima iko kama huko, mvua zinaanza tunawaza adha ya usafiri na mateso yake. Serikali wamejithidi kujenga barabra za kuunganisha mikoa, ila huko ndani ndani ni balaa sana . Ni kama mfumo wa damu mwilini unakuwa na mishipa mikubwa (Veins na Arteries) na ile midogo capillaries inapeleka damu sehemu za pembezoni kama vidoleni, mapafu n.k. Mfumo wetu hatujajenga capillaries kabisa, na hii ni shida kwelikweliDreaming? Sema ni wapi barabara ya kutoka mkoa kwenda mkoa au wilaya na wilaya ipo vile.