Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

Mbunge wa Iramba Mashariki, Mwigullu Nchemba anaonekana kuwanyima usingizi Wapinzani na mashabiki wao.
Je inawezekana Mbunge huyu akawa tishio kwa wapinzani?
Kwa maoni yangu mimi naona kama NI kweli wapinzani wanamgwaya Mwigullu, kwani kama siyo tishio, basi wasingehangaika naye.

Si wabunge tu wa Upinzani wanaohaha kuhakikisha CCM haufuruki kupitia kwa Mwigullu, bali hata mashabiki wao, kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na wengine wanaonekana kutumia muda mrefu kumponda Mbunge huyo machachari wa CCM.

Lakini swali la msingi ni , je Anayoyasema Mwigullu hayana msingi au sasa Wapinzani nao wanaona kama wanashikwa pabaya na wanajaribu kutapatapa? Na kama wanatapatapa, wanaogopa nini? kwani nao wana madhambi? Ni mabaya gani hayo?
 
Mwigulu CHEMBA anapepo la ngono, limekula forebrain, limemwachia medula oblangata. Ndio maana ana dini lakini hafuati maelekezo ya imani yake, ana mke lakini anavunja amri ya kumi na ya sita simultaneous, ukimuwekea hela mbele yake tarajia atafikiria kuhonga, ukimpa uwakilishi atafikila ulaji na ujiko kuwakoga haiyumkini wake za watu ili litimie neno "aziniye na mwanamke hana akili kabisa"
kwa hiyo mwigulu hana akili kabisaaaaaa!!!
 
Mbunge wa Iramba Mashariki, Mwigullu Nchemba anaonekana kuwanyima usingizi Wapinzani na mashabiki wao.
Je inawezekana Mbunge huyu akawa tishio kwa wapinzani?
Kwa maoni yangu mimi naona kama NI kweli wapinzani wanamgwaya Mwigullu, kwani kama siyo tishio, basi wasingehangaika naye.

Si wabunge tu wa Upinzani wanaohaha kuhakikisha CCM haufuruki kupitia kwa Mwigullu, bali hata mashabiki wao, kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na wengine wanaonekana kutumia muda mrefu kumponda Mbunge huyo machachari wa CCM.

Lakini swali la msingi ni , je Anayoyasema Mwigullu hayana msingi au sasa Wapinzani nao wanaona kama wanashikwa pabaya na wanajaribu kutapatapa? Na kama wanatapatapa, wanaogopa nini? kwani nao wana madhambi? Ni mabaya gani hayo?
Vipi unatafuta uchumba kwa Mwigulu? Mpigie simu kabisa umueleze lengo lako ndiyo atakuelewa vema.
 
Japo anachofanya ni kuzidi kuishusia heshima CCM kwani kabla hajaongea WATZ wanajua ataponda wapinzani, ni dhahiri binadamu yoyote yule huwa anaogopwa zaidi na zaidi ukiwa chizi ni lazima uogopwe Mwigulu naye kihoja na kimatzamo wa wengi ni kama chizi
 
Ndugu wana JF kuna msemo mmoja unasema "mtu mzima ovyo!!", kwa mtizamo wangu Mwigulu Nchemba ni mbunge kijana ovyo sana wa CCM na anawaibisha sana wananchi waliomwamini na kumchagua awe mwakilishi wao bungeni maana anaacha kufanya kazi iliyompeleka bungeni badala yake amekuwa mtu wa kueneza propaganda za chama chake bungeni.Lakini pia nina wasiwasi na elimu yake ya masters anayosema kuwa nayo kila wakati maana mambo anayofanya hayafanani na msomi wa level hiyo yaani anatoa argument za kipumbavu kabisa na anaonekana kama mtu muhuni fulani bungeni.Kwa kweli nashawishika wananchi waliomchagua wamekosa mwakilishi mzuri wa kuwasemea bungeni.Lakini anakiabisha chama chake kwa nafasi aliyonayo na ndio maana kuna uzi humu ndani unaomtaja Nchemba anayechangia kukiua chama chake.sijui UVCCM kama wanamwona huyu jamaa!
 
Ambatanisha Uzi wako na hayo unayofikiri Mwigulu ameyaongea na yana Tija kwa taifa na wakati huo huo yanahatarisha Upinzani.Ndiyo tujadili siyo kutuwekea Mkusanyiko wa maneno ambayo yanatoa majumuhisho
 
cdm ni wabunge waliotoka wapi au wamezaliwa wapi kila kitu wanakijua?naamini watu wengi hasa watanzania ni washabiki wa majina ya vyama siyo wachambuzi wa viongozi bora
 
Achia mbali kuaibisha Chama tu huyu jamaa anaaibisha hata Watu wote waliochangia kwa kumfundisha.Haiingii akilini kwa msomi kutumia muda wake vibaya kama Mwigulu anavyofanya Bungeni.
Kuwa Mweka hazina wa CCM hakuwezi kumfanya mtu atetee kwa nguvu zake zote hata mambo ya kipuuzi.
Bunge ni mahala ambapo tunategemea Watunga sera na Sheria watumie akili,uwelewa na Maarifa yao ili kuweza kutafuta Majibu ya matatizo mbalimbali yanayosababisha kutofanikiwa katika vipaumbele vya kulete Maendeleo ya Taifa letu.
 
Mbunge wa Iramba Mashariki, Mwigullu Nchemba anaonekana kuwanyima usingizi Wapinzani na mashabiki wao.
Je inawezekana Mbunge huyu akawa tishio kwa wapinzani?
Kwa maoni yangu mimi naona kama NI kweli wapinzani wanamgwaya Mwigullu, kwani kama siyo tishio, basi wasingehangaika naye.

Si wabunge tu wa Upinzani wanaohaha kuhakikisha CCM haufuruki kupitia kwa Mwigullu, bali hata mashabiki wao, kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na wengine wanaonekana kutumia muda mrefu kumponda Mbunge huyo machachari wa CCM.

Lakini swali la msingi ni , je Anayoyasema Mwigullu hayana msingi au sasa Wapinzani nao wanaona kama wanashikwa pabaya na wanajaribu kutapatapa? Na kama wanatapatapa, wanaogopa nini? kwani nao wana madhambi? Ni mabaya gani hayo?

Naomba tuwatambueni wafuasi wote wa D.Cameroon humu ndani.
 
Mnyika the best you never compare na huyu mdhinifu,mropokaji,fisadi pomoja anayependa kujisifia pasipo na sababu. Mbunge mmoja wa chadema anauweza wa kuwanyima usingizi wabunge wa magamba 50 mpaka 100 kutokana na kuongea ukweli kwa mbunge wa chadema.
 
Mbunge wa Iramba Mashariki, Mwigullu Nchemba anaonekana kuwanyima usingizi Wapinzani na mashabiki wao.
Je inawezekana Mbunge huyu akawa tishio kwa wapinzani?
Kwa maoni yangu mimi naona kama NI kweli wapinzani wanamgwaya Mwigullu, kwani kama siyo tishio, basi wasingehangaika naye.

Si wabunge tu wa Upinzani wanaohaha kuhakikisha CCM haufuruki kupitia kwa Mwigullu, bali hata mashabiki wao, kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na wengine wanaonekana kutumia muda mrefu kumponda Mbunge huyo machachari wa CCM.

Lakini swali la msingi ni , je Anayoyasema Mwigullu hayana msingi au sasa Wapinzani nao wanaona kama wanashikwa pabaya na wanajaribu kutapatapa? Na kama wanatapatapa, wanaogopa nini? kwani nao wana madhambi? Ni mabaya gani hayo?

Wewe ndo walewale akina Manyanya wanaomuita Dr. Ulimboka Hitler sijui kwa faida ya nani. Najua hawa wabunge wanaojipendekeza kwa viongozi mwisho wao umefika kwani JK kipindi chake ndo hicho kimekwisha, mtakamatanma kwanza ndani ya chama na kupigwa chini na kundi la mgombea wenu Edward Lowassa na mkija upinzani hakuna wa kuwapokea then ndo mtajua akina Tambwe Hiza wameenda wapi. Huyu Mwigulu hana lolote ila issue iliyopo ni kwamba ameandaliwa kuvuruga hoja za wapinzani na kila wanapoomba nafasi ya kumjibu au kuweka sawa uzushi wake wananyimwa nafasi na ugomvi unaanza. Sina uhakika km mambo haya yote yanawekwa kwenye hansard kwani in future tutawahukumu hawa watu wanaofanya upuuzi ndani ya bunge letu kwa kuwa hawatadumu bungeni milele.
 
Mpuuzi tu hana jipya tupo kwenye uchangiaji wa bajeti ya sirikali si bajeti ya kambi ya upinzani yupo bungeni si kwenye jukwaa la siasa pale Chemba anatakiwa alifahamu hilo. Filikunjombe tengeneza hiyo Chemba ina mwaga kinyesi nje ! msomi wa wapi huyu ?
 
Mwigulu Nchemba akisaidiwa na Stella Manyanya ni tishio, tena tishio kubwa sana, lakini ni tishio kwa CCM. Kwa bahati mbaya sana wabunge wengi wa CCM hawajagundua hilo, hawajagundua kazi anayofanya Mwigulu au msukumo uli nyuma yake! Wataligundua hilo kuanzia late 2013 lakini kwa wakati huo it will be too late.

Tukumbuke huyu bwana mdogo Nchemba ndio treasurer wa CCM, nafasi ambayo iliwahi kushikwa na Rostam Aziz. Kwa sasa inaonekana kama Mwigulu anaishambulia CHADEMA, lakini watu wenye akili timamu wanajua anachokifanya ni kuwavuta wabunge wa CCM kwenye mtandao wa kibosile wake kwa mgongo wa kuishambulia CHADEMA. Hivyo mbunge wa CCM atayeonekana kupingana naye aonekane yuko mtandao (hasi?). Na kwa uzuzu baadhi ya wabunge wa ccm wameshaanza kunaswa na huu mtigo, ila wakumbuke hii ni term ya mwisho, kisheria bwana mkubwa hawezi kugombea tena. Nchemba atakuwa amemaliza kazi yake!
 
Back
Top Bottom