Jasiri wa kuja humu ni Dr Kigwa. Huyo mwenye first class sio rahisi.Nchemba ni member humu. Nadhani atakuja kujibu hizi hoja. Tusubiri.
hawa mabwana wananitatanisha naomba mwongozo wenu wana jamiiforums.... nani mwanasiasa na nani man of the people anayetetea mnaslahi ya wananchi kati ya mnyika na mwigulu nchemba?? naona wanalumbana mno ,, na mhe mnyika ana reaction hata kwa spika na wenyekiti hasa manyanya!! na ccm kwa ujumla mnyika ana wacritise mno
Wewe huon?
acha kumdharau Mnyika,haiwezekani ukamlinganisha JJ na huyo bwana,JJ Mnyika ni sawa sawa na DHAIFU kumi wa NYI NYI EM na wabunge selasini.