Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

We ni mtu wa ajabu sana! Yan unaona mropokaji ndio mtoa hoja?
Ccm wenzio wanaona ana kishushia hadhi chama chenu we unaona ni wamaana!

Mwigulu nchemba ni tishio kwa wananchi maana ana support hoja mfu.

Nafikiri una hitaji ushauri kama unamuona mtoa matusi ni mwamba kwako!

Ni wakati wa kukushangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Ndivyo inavyoelekea, badala ya kuchambua hoja za serikali. Matokeo yake wabunge wa CCM watajikita kutukuna wapinzani, muda wa bunge utaisha, bajeti za mawazira/hoja za serikali zitapita na ubovu wake kwa sababu wabunge walikuwa wanalumbana. Mwakani wabunge wa CCM wataanza kuwaka kuwa mawaziri wanawaangusha!

Ningekuwa mimi ni mbunge wa CHADEMA ningewa-keep busy kweli hawa CCM ili wasijadili kabisa hoja za serikali then mwakani bomu likipuka nakaa pembeni na ndovu yangu.
 
Kwanza napenda kuwapa pole sana wapiga kura waliompa kura huyu kijana wakiamini damu changa inaenda kuwasemea yale mengi waliyokuwanayo toka muda mrefu.Pole iwafikie viongozi wa chama ambao nao walikuwa na imani kubwa na hii damu changa kwamba inaweza kuwashawishi vijana wengine kurudisha imani yao kwa chama.

Kwa hakika huyu jamaa ni bure kabisa na haionyeshi kama elimu yake ina athari yoyote ktk maisha yake.Maana kila anapopata muda wa kuwasemea wananchi wake ktk hoja mbalimbali zinazoletwa na serikali yy ugeuka kuwa msemaji wa serikali ama mchambuzi wa maoni yaliyotolewa na upinzani.Mwenyewe anafikiri ni sifa sana na kuwa watu watamuona yuko makini kwa kukesha huku akipitia mstari baada ya mstari wa maoni ya upinzani kumbe anashindwa kujua kuwa anapoteza muda kwa kuchambua maoni badala ya hoja iliyopo mezani.Anashindwa kujua kwamba wenzake kama akina J.Makamba wamefungua mpaka ofisi zinazokusanya na kuelezea mambo mbalimbali yanayotokea majimboni kwao na sio kupoteza muda kwa mambo yasiyo ya msingi.Muda huu ungeutumia kuzichambua hoja zinazoletwa na serikali na ukaangalia zinaigusa vp jimbo lako ungekuwa unafanya jambo la maana.

Kwa hiyo staili yako ya wabunge kuanza kukucheka mara tu unaposimama ata kabla haujaanza kusema ni dhahiri kuwa unajishushia heshima yako mbele ya jamii na kamwe mtu mwenye akili na busara zake hawezi kukuita ama kuitaji msaada wako wa mawazo hata siku moja.Badilika kijana unatuaibisha vijana wenzako huu sio muda wa kutafuta sifa ni muda wa kufanya kazi uliyotumwa na wananchi wako na kumbuka umetumwa na Wananchi wa jimboni mwako na sio Chama ambacho ata nao kama ni makini hawawezi kufurahia kile ufanyacho ukiwa bungeni.Tazama kati ya dk 10 ulizopewa leo hakuna lolote ulilochangia ktk hoja iliyopo mezani na badala yake umeharisha pumba zisizokuwa na rangi wala mvuto kwa INZI.

Siku zote ukiisha ona wabunge, wanachama, wapenzi na viongozi wa chama cha washwa washwa wana lalamika kama hivi ujue jamaa amewashika pabaya aisee na hakamatiki, sio siri Mwigulu ameisha pabaya cdm kila siku wanamuwaza jinsi yakumdhibiti jamaa hawapati majibu na yeye amewaonyesha watanzania udhaifu wa bajeti ya upinzani na kuiita ni ya harusi na si ya nchi, kuna ubaya gani nae kuwaelimisha watanzania?
 
Jamani, Mwigulu hastahili attention tunayompa katika forum hii. He is a nonsense oportunist. Just ignore him
 
Mwigulu uwezo wake ni mdogo sana, hajawahi kuchangia jambo lolote lenye mashiko ndani ya Bunge hata siku moja. Mie nashangaa kwa kawaida Budget zinazojadiliwa Bungeni ni zile zilizowasilishwa na serikali,na hayajadiliwi maoni ya kambi ya upinzani. Sasa kila akija yeye ni kukosoa sentensi za maoni ya upinzani badala ya kuboresha Budget iliyoletwa na serikali.
Huyo ndie anayejinasibu kuwa ni Mchumi wa daraja la kwanza na wenzie wanamzawadia pesa (kumtuza) kama tunavyo wa tuza wakata viuno kwenye majukwaa ya taarabu.
 
sidhani kama anajua ni wakati gani apige propaganda za chama na wakati gani awawakilishe wananchi waliomchagua.

Unaweza maliza madarasa yote na bado ukabakia kuwa mjinga.
 
Pole sana ndugu yangu,inatakiwa kutambua kuwa wanachi wamekutuma ili uzichambue kwa makini hoja za serikali na kuangalia vipaombele vilivyopo kwa jimbo lako na jinsi gani ya kuviboresha.Ila nashukuru kwa akili yako na shoga yako nchemba mmekubali kuwa hoja zinazojadiliwa ktk bunge hili la bajeti ni za upinzani tu na sio zile zinazoletwa na wizara zenu kwa maana nyingine mmekubali kuwa wanaotawala kifikra nchi hii ni hao unaowataja na sio wengine.
Siku zote ukiisha ona wabunge, wanachama, wapenzi na viongozi wa chama cha washwa washwa wana lalamika kama hivi ujue jamaa amewashika pabaya aisee na hakamatiki, sio siri Mwigulu ameisha pabaya cdm kila siku wanamuwaza jinsi yakumdhibiti jamaa hawapati majibu na yeye amewaonyesha watanzania udhaifu wa bajeti ya upinzani na kuiita ni ya harusi na si ya nchi, kuna ubaya gani nae kuwaelimisha watanzania?
 
Siku zote ukiisha ona wabunge, wanachama, wapenzi na viongozi wa chama cha washwa washwa wana lalamika kama hivi ujue jamaa amewashika pabaya aisee na hakamatiki, sio siri Mwigulu ameisha pabaya cdm kila siku wanamuwaza jinsi yakumdhibiti jamaa hawapati majibu na yeye amewaonyesha watanzania udhaifu wa bajeti ya upinzani na kuiita ni ya harusi na si ya nchi, kuna ubaya gani nae kuwaelimisha watanzania?

1. GeniusBrain, kwanini wabunge wa CCM wanatumia nguvu kubwa kuzuia report ya kamati ya bunge isiwekwe wazi kwa bunge zima?

2. Siku ya 6 leo, hakuna mtu yoyote aliyekamatwa na kuhojiwa kuhusu mkasa wa Dr Ulimboka. Kwanini wabunge wa CCM hawaonekani kushtushwa na hilo?
 
Kama kuna kazi anatakiwa kufanya mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba ni kuwasaidia nduguze wanakuja wilaya mbulu kwa wingi kuomba ajira ya kilimo.

Ni muda mrefu sasa wenyeramba wanateseka mno kutafuta maisha mazuri. Cha kushangaza ni mwakilishi wao kuwa mtetezi wa serikali. Ukitaka kujua umasikini maana yake nenda Iramba utajionea jinsi umaskini ulivyokithiri.

Wanaotoka Iramba wanajua hali hii.

Ni habari za uhakika. Kama kuna umasikini wa hali ya juu nchi hii uko wilaya ya Iramba.
 
Kweli kama mwigulu ndio mashine yenue tegemezi subirini makubwa, mtachanganyikiwa soon msijue pa kushika. maana kwa akifanyacho kaeni mjue anawaimarisha wapinzani kwenye kuchambua kwa kina udhaifu wa serikali ya CCM.
Siku zote ukiisha ona wabunge, wanachama, wapenzi na viongozi wa chama cha washwa washwa wana lalamika kama hivi ujue jamaa amewashika pabaya aisee na hakamatiki, sio siri Mwigulu ameisha pabaya cdm kila siku wanamuwaza jinsi yakumdhibiti jamaa hawapati majibu na yeye amewaonyesha watanzania udhaifu wa bajeti ya upinzani na kuiita ni ya harusi na si ya nchi, kuna ubaya gani nae kuwaelimisha watanzania?
 
Washwa washwa ni ugonjwa mbaya sana , na ukiisha kuwa na ugonjwa wa washwa washwa hakuna dawa zaidi yakukunwa pale panapo washa
Kile chuo chenu cha uongozi siku hizi kinatoa certificate ya matusi.
Lusinde, Mwigulu, Mabumba na ww nasikia wote mmegraduate hiyo certificate.
 
tanzania sio ya ccm pekeyao!! maana bungeni wabunge wa upinzani imekowa tatizo kuikosoa serikali ......fanyeni fair ccm...tumechoshwa na manyanyaso yenu,wabunge wa ccm hawana point bungeni,wanasubiri kupewa madaraka tu!!!
 
Huyu ni mmoja wa Wabunge vijana WAJINGA kabisa TAIFA hili limepata kuwa nao. Bado haridhiki na uweka hazina wa CCM. Anataka aingie kwenye Cabinet ya Kikwete kabla ya 2015. Mle Bungeni hafanyi kazi ya Ubunge tena. Amemzidi ujinga hata Lusinde kwa sasa.

shiiii! usimseme FIRST CLASS ECONOMICS, msomi aliyebobea.
 
Waachieni kazi hii wananchi wa Iramba mashariki. Ameshajimaliza mwenyewe. Siku hizi anazomewa mitaani kama mwehu.
 
Je, mwandishi wa thread hii anamanisha mwigulu ni tishi kwa uchafu? Maana ikumbukwe wizi wa EPA ulitokea akiwa jikoni benki kuu!
 
Mbunge wa Iramba Mashariki, Mwigullu Nchemba anaonekana kuwanyima usingizi Wapinzani na mashabiki wao.
Je inawezekana Mbunge huyu akawa tishio kwa wapinzani?
Kwa maoni yangu mimi naona kama NI kweli wapinzani wanamgwaya Mwigullu, kwani kama siyo tishio, basi wasingehangaika naye.

Si wabunge tu wa Upinzani wanaohaha kuhakikisha CCM haufuruki kupitia kwa Mwigullu, bali hata mashabiki wao, kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na wengine wanaonekana kutumia muda mrefu kumponda Mbunge huyo machachari wa CCM.

Lakini swali la msingi ni , je Anayoyasema Mwigullu hayana msingi au sasa Wapinzani nao wanaona kama wanashikwa pabaya na wanajaribu kutapatapa? Na kama wanatapatapa, wanaogopa nini? kwani nao wana madhambi? Ni mabaya gani hayo?

Umekosa mume? Mwigulu ndiyo saizi yako!!!!
 
Back
Top Bottom