GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Kweli kama mwigulu ndio mashine yenue tegemezi subirini makubwa, mtachanganyikiwa soon msijue pa kushika. maana kwa akifanyacho kaeni mjue anawaimarisha wapinzani kwenye kuchambua kwa kina udhaifu wa serikali ya CCM.
Chama washwa washwa, Wabunge washwa washwa, viongozi washwa washwa, wanachama washwa washwa na hoja washwa washwa . Mh Mnyika aka Mh. Washwa washwa ndio ameileta jina jipya la cdm na kuwa washwa washwa