Stoudemire
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 839
- 208
Mimi naona tusiwe na mawaziri maana hamna kazi wanayofanya , bora ma katibu wakuu wafanye kazi zote waripoti kwa waziri mkuu.
mkuchika huyu ana jipya?
hana hoja sijui anatafuta nini
ndugu yangu mimi ntaanzia maandamano dodoma hadi kwenye jengo la bunge maana hii ni aibu,ukarabati tu milion 400 je kujenga ingekuaje?ni ukarabati uliotumia material za gold au diamond? am confused
Ccm hawana tena ubavu wa kuwachimba mkwara wabunge wao kwa hali waliyo nayo watakuwawanafanya kama alivyosema Lusinde kutishia kujamba......
Amesema ana horodha ya wakurugenzi 35 waliochukuliwa hatua na anadai wapo waliofungwa na wao Kama tamisemi huwa wanawachukulia hatua.
mkuu usiwe msahaulifu sana......mwaka jana alikuja na orodha kama hiyo..na kwa taarifa yako watendaji hao wako kazini kabisa...
Mimi naona tusiwe na mawaziri maana hamna kazi wanayofanya , bora ma katibu wakuu wafanye kazi zote waripoti kwa waziri mkuu.