Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

duuh bora hili zee limemaliza maana nilikua nakaribia kusinzia

Kilaza lililogoma kuachia uwaziri likiacha watu wakifa limeanza kuongea.
.
"WASOMI WENGI TANZANIA NI CHAKULA CHA WASIO NA ELIMU(WANASIASA) HASA JK"
 
ndugu yangu mimi ntaanzia maandamano dodoma hadi kwenye jengo la bunge maana hii ni aibu,ukarabati tu milion 400 je kujenga ingekuaje?ni ukarabati uliotumia material za gold au diamond? am confused

hhahaa...nchi hii bana
 
Jamani twaomba mtaje mada pls mkitaja majina tuu tunaambulia patupu sisi ambao hatuko kwa TV
 
mi natamani baraza la mawaziri livunjwe maana hawaeleweki jamani tumewachoka,hata hawana cha kuongea bungeni wameishiwa poit
 
ndugu yangu mimi ntaanzia maandamano dodoma hadi kwenye jengo la bunge maana hii ni aibu,ukarabati tu milion 400 je kujenga ingekuaje?ni ukarabati uliotumia material za gold au diamond? am confused

usi be confused.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI, AND VICE VERSA IS TRUE".
 
Haya hivyo kuna mtu kaomba mwongozo, na inaonyesha cinema ile ile, katofautiana na naibu waziri wake.

hili jizee jingine linaongea kuhusu wizara ya afya sasa sielewi linaongea utumbo gani
 
mi natamani baraza la mawaziri livunjwe maana hawaeleweki jamani tumewachoka,hata hawana cha kuongea bungeni wameishiwa poit

hawana lolote kabisa hawa kama huyu mponda ndio hakuna kabisa
 
Kweli vicent ni kiboko kama jina la Baba yake kwani kasema kwa ufupi mapungufu ya TBS kwa kutoa ushahidi kamili,mwisho amemalizia na kibwagizo kuwa anashangaa watu wengine wanaruka tiktaka huku wakiwa na mataulo watabaki uchi kwa maana ya majibu ya mawaziri.
 
V. Nyerere ni noumer!!! taratibu but sure, ndo maana mkapa hatasahau, jamaa ni pasu bin pasu, haachi neno. Kweli Dr. Slaa ame-train wazalendo
 
Huyo nyuma ya Haji mponda anaitwa nan coz kasinzia alafu kuna m2 kampigia simu kumuamsha anajidai saivi anasoma nn cjui.
 
Keep the fire burning Vicent. Sasa tupatie connection kati ya hawa watoto wa mjini na vigogo wa serikali wanaowabeba. Sio rahisi wakawa pekee yao hawa
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Back
Top Bottom