Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

safi deo jamaa wamejiachia sana wanadhani nchi ni yao tuu tupo ambao hatuna vyama
 
Teh teh teh! hivi mlifikiri Dr. Slaa hana warithi wapo wengi sana na wengine bado hawajazaliwa
 
tamthilia episide 2, toka lini panya akamkimbiza panya? Deo Filikunjombe anatuhadaa na Gamba lake
 
Wakuu nauliza swala moja muhimu sana tulitafakari kwa makini sana. Tuseme mathlan bunge likipiga kura ya kutokuwa na imani na serikali halafu kinafuata nini? Je, kutakuwa na uchaguzi mpya (ikimpa JKnafasi kugombea tena) na kama ndivyo, tuseme JK akishinda uchaguzi huo ataendelea kuongoza nchi hadi mwaka 2017 au? naomba darasa..

hilo haliwezi kutokea hata siku moja
 
Nyerere ni mtoto alikulia kijiweni, anaijua Dubai, Korea kama mtaa wa uhuru musoma.
Tafakari kumtoa Mathayo haikuwa jambo dogo.
Big up Vincent, tuko na wewe.
 
fisadi wala haeleweki anaongea nini,

mjinga kazi yake kutembea na mabinti wadogo,kipindi kile alipokua waziri wa elimu alipitia sana wanafunzi kwa kuwapa ofa ya mkopo hata wale waliokua hawana vigezo
 
nyumba yawaziri wa afya imekarabatiwa kwa shilingi milion 480 mi naandamana

Unaanzia wapi hayo maandamano nije nikuunge mkono? Nakuja na maji ya kuosha uso wakipiga mabomu ya machozi! Huo ukarabati si ni heri wangejenga nyumba mpya tu!
 
Aise bongo zaidi ya uijuavyo kila mtu ni kupiga deal tu ila ndo downside ya serikali ya kishkaji wizi kila sehemu dah aise inasikitisha sna aise
 
Jamaa kashusha majina ya makampuni hewa ya ukaguaji wa magari na wamiliki wake ambao ni watanzania na wala si watu wa nje
Kataja mpaka kikao kilichokaa Kempisky hotel jamaa wanaojiita watoto wa mjini walivyoform kampuni na kujipa dili
Wali wakushiba unaonekana kwenye sahani,kwajinsi khali ilivyo sisiem kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!.
 
duuh bora hili zee limemaliza maana nilikua nakaribia kusinzia
 
tamthilia episide 2, toka lini panya akamkimbiza panya? Deo Filikunjombe anatuhadaa na Gamba lake
Kwenye sauti yake na alivyokuwa muda ule, japo nilimwona kwenye TV, naweza kuapa kwamba alikuwa serious.
 
Unaanzia wapi hayo maandamano nije nikuunge mkono? Nakuja na maji ya kuosha uso wakipiga mabomu ya machozi! Huo ukarabati si ni heri wangejenga nyumba mpya tu!

ndugu yangu mimi ntaanzia maandamano dodoma hadi kwenye jengo la bunge maana hii ni aibu,ukarabati tu milion 400 je kujenga ingekuaje?ni ukarabati uliotumia material za gold au diamond? am confused
 
Back
Top Bottom