Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,985
- 5,707
tena wanaendelea kupokea malipo kutoka serikalini,duuh its too much,wabunge tusaidieni,watoeni hawa watu hawatufai
wakurugenzi wengi wanashirikiana na hawa mawaziri...
tena wanaendelea kupokea malipo kutoka serikalini,duuh its too much,wabunge tusaidieni,watoeni hawa watu hawatufai
vicent nyerere kasema kwa ushahidi na kuwataja majina wamiliki wa makampuni ya ukaguzi wa magari kuwa ni ya nje kumbe ni watanzania na wapo hapa tz huku wakiwa wameyapa majina ya nje makampuni hayo, na kusema walikutana moven pick....
Na kusema makampuni hayo yalikusanya dollar mil 18, na serikali kupata dollar 2 mil tu, na kasema makampuni hayo hayafanyi ukaguzi wowote....
With guts, with confidence....
wafanya kazi wanalipiwa mishahara dirishani?
wakurugenzi wengi wanashirikiana na hawa mawaziri...
Hivi naruhusiwa kuandamana nikiwa peke yangu? Na nikifanya hivyo nahitaji kibali?