Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

mpaka sasa baadhi ya halmashauri hazijapata gawiwo, hizo pesa huwa zinaenda wapi wakati huwa zinatolewa hazina kwa pamoja?
 
serikali kumbe hata haitambui mali zake doooh hivi huu si ulimbukeni?
 
Nitapata wapi matangazo ya bunge kwa njia ya audio kwenye internet? Mambo Jambo naona kimya!!!
 
Hao wabunge wa magamba hawajui kuwa bunge ni muhimu kuliko vikao vyao,waje upesi bungeni na kikao cha bunge kikiisha warudi kwenye hicho kikao,kikao chenyewe unaweza kukuta wanaambiwa wasiishambulie serikali la sivyo watavuliwa uanachama wa magamba.

Ccm hawana tena ubavu wa kuwachimba mkwara wabunge wao kwa hali waliyo nayo watakuwawanafanya kama alivyosema Lusinde kutishia kujamba......
 
Wana JF mtusaidie kutupa update za bungeni, na kama kuna tv inayoonesha kipindi cha bunge usiku naomba mnijuze, maana asb nakuwa kazini na usiku hakuna tv inayoonesha kipindi cha bunge kilichokuwa-recorded.
 
wizara inalidanganya bunge, tbs na kampuni hewa waziri hakua na majibu
 
kampuni ya quality gereji na kampuni hewa ya ukaguzi wa magari tbs
 
Back
Top Bottom