Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

Zitto Kabwe sasa anazungumza. KAPENDEZA KATIKA GWANDA LAKE LA KAKI. Chadema Oyeee!
 
Zitto full confidence.......ila sitaki kuamini kama anaziuma hizi audit queries kwa watajwa, ili mifuko itune
 
Tofauti ya kimajukumu kati ya wale vibaka wa manzese ni mavazi wanayavaa tu. Leo gari imezimika hakuna mafuta kumbe kuna manyang'au yanaiba
 
Kama haya ya zito yatatimia kweli, basi tutegemee mazuri mengi ktk bunge hili.
 
Back
Top Bottom