Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,985
- 5,706
Hakuna radio ya TZ inayotangaza bunge live kwa sasa kupitia mtandao?
post number 190 imekujibu.....
Hakuna radio ya TZ inayotangaza bunge live kwa sasa kupitia mtandao?
lukuvi anapoteza ushahidi
wasiraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Shukrani, ila leo inakataaa.bofya hapa
TuneIn Web Tuner&
Kachapa usingizi. KITAMBI NOMA!
Tatizo ana ugonjwa wa Tambisleep. Hahahahahahahah.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Namwona WASIRA KALALA HAPA!
Na mabunge mengine alilala pia kuna watu wana avator yake humu ya usingizi na FB wengi tu. noma sijui anakula anavimbiwa au ni nini ?
ukimuuliza atakwambia alikuwa kwenye dozi ya mafuaHahahahahahaha! Tambisleep si mchezo! MREMA ANAWAKAANGA MAWAZIRI, WIZI UNAFANYWA KWA MTANDAO!