Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

Wakuu huku Arusha maeneo mengi ya mji kwa sasa Tanesco wameuchukua umeme wao,wanatubania kuyajua madudu ya Serikali lakini ni Kama wamechelewa tulishaamka siku nyingi.Wadau humu nnaomba muendelee kutujuza kinachoendelea Bungeni.
 
lUKUVI analeta stori za matrix hapa hayo ni maandishi je unalingana na ukweli? Wezi wanajua ku cook strory mbaya!
 
"tunayo matrix inayoonesha kila hoja iliyojibiwa" lukuvi bana naona nae anaruka sarakasi na taulo bungeni
 
Hivi naruhusiwa kuandamana nikiwa peke yangu? Na nikifanya hivyo nahitaji kibali?

Usihofu, ukiandamana tu lazima sapotazi wapatikane.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
ndugu yangu mimi ntaanzia maandamano dodoma hadi kwenye jengo la bunge maana hii ni aibu,ukarabati tu milion 400 je kujenga ingekuaje?ni ukarabati uliotumia material za gold au diamond? am confused

Katika jitihada za kujisafisha kasema eti million 400 sio za ukarabati ila ni "muendelezo wa ujenzi"! Kidogo nipige teke TV kwa hasira!!!
 
lUKUVI analeta stori za matrix hapa hayo ni maandishi je unalingana na ukweli? Wezi wanajua ku cook strory mbaya!


nimesema huyu anashika nafasi ya 3 kwa kusema uongo nchini
 
Yaan kwa kifupi hapa Serikali na Mawaziri wake hakuna escaping root!Zaidi ya kustep down tu!Hata mkitoa mapovu wakati mnatoa majibu yenu ya uongo huku midomo na macho vikipishana haitasaidia.
 
hawa mawaziri hawana tofauti na ile kamati ya mazishi ya the great (kanumba) ile kamati imepiga hela ndefu balaa
 
Mkuu Bosi wake pinda anashika 2 Number moja yupo Kwa Da silva anacheza samba zagalo!
 
"tunayo matrix inayoonesha kila hoja iliyojibiwa" lukuvi bana naona nae anaruka sarakasi na taulo bungeni

Hiyo matrix ni two by two, au ni three by three matrix?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Hayo yatakuwa matembezi either evening,Afternoon or Morning walking
 
Hakuna radio ya TZ inayotangaza bunge live kwa sasa kupitia mtandao?
 
Mkuu hapa hata wakifanya parabola hakuna kitu!Lukuvi na hesabu za zile za watu 2 hulima shamba hekari 2 kwa siku 4.

Mytake: Anajaribu kupiga Kinyago Konzi!
 
Mkuu hapa hata wakifanya parabola hakuna kitu!Lukuvi na hesabu za zile za watu 2 hulima shamba hekari 2 kwa siku 4.

Mytake: Anajaribu kupiga Kinyago Konzi!

Labda watumie Laplace Transformation.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Back
Top Bottom