Hivi nyie mnasikiliza Radio kupitia link Gani maana naona Hawa Arusha Mambo wanarudia kitu kile kile sijui wanarekodi??
Naona mwana Uamsho umeibuka.....bajeti hii Uamsho mmetengewa kiasi gani cha kuchomea Makanisa??Lusinde kawachana wapinzani mbaya, hongera muheshimiwa
Lusinde katoa point mbili muhimu:
1) Unafiki wa mbowe kuchukua posho, na kutumia gari la upinzani wakati alilikataa
2) Bajeti ya upinzani haiakisi ilani ya chama chao, mbona hawaoni elimu bure kwenye bajeti ya chadema?
Lusinde kawachana wapinzani mbaya, hongera muheshimiwa
Hivi ni mbio tuu za kuanzisha thread au ni nini
Sasa hapo ni kipi cha maana alichoongea huyu jamaa ambacho unawez akusema ni cha tija kwa taifa
Lusinde kawachana wapinzani mbaya, hongera muheshimiwa
ushabiki mbaya sana, naibu spika anajifanya hajasikia pumba za lusinde anamuomba arudie tena alichokisema as if alikuwa anaongea mambo ya maana kumbe ni mipasho tu, Kafulila alivyokuwa anaongea uzalendo naibu spika akamwambia anatoka nje ya mada, lusinde kaongea pumba tupu, naibu spika anakenua meno tu.