Bungeni Live: June 19, 2012

Ushahidi alioutoa Lema mbona hatujapewa Majibu yake?Au ni Fashion kuomba vielelezo ambavyo hawavifanyii kazi?
 
Hawa ndio wa kuwapa hongera kwa kunufaika kwa kuichagua CCM


hahahahaaa,,,,,kweli utandawazi una faida zake,,,moja ndo hii,na una hasara bado hapa sijaiona,nafatilia bunge kupitia jf,,,,,asanten mlio karibu na tv
 
Je kati ya JK na Mbowe ambaye alikataa V8 na posho kwa kuhadaa Umma kuwa havitaki wakati anavitumia kiulainiiiiiiiiiii
 
Kenge huwa anairingia miamba kwamba ana rangi nzuri kuliko miamba,.....aringie maji ataweza?!!

Silly season..........!!!! tunawangoja hawa vilaza huku mitaani...come 2015!!!
Kama kawaida CHADEMA mbele CCM nyuma....

 
Hvi hoja ni Mbowe na gari au Budget?
Hata mimi nashangaa hilo tumesikia Mwigilu kaongea jana. Lusinde naye anarudia? Hii yote inadhihirisha wapo kimaslahi zaidi ndo maana wanaongelea material things
 
Naibu spika: Bunge linaahirishwa hadi jioni, naomba nisisitize sana, wabunge(upinzani) acheni jazba na chungeni kauli zenu, tofautisheni mambo ya majukwaani na hapa. Heshimuni kiti
 
Nadhani baadhi ya wabunge huwa wanaongea kama vile wamekurupushwa na hawakujua kuwa wako kwenye orodha ya kuchangia. Mtu anaongea mtiririko huuoni. Mara vijembe mara kejeli. Tarime Kazi mnayo 2015.
Si ndio sababu wanapigwa risasi kila siku??? matunda ya ccm mauaji
 
Wadau tumpongeze NDUGAI, kuwadhibiti vijana wa vijiweni bungeni. Big up Job Ndugai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…