Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Katika jambo serious kama kupitisha bajeti absenteesm ya wabunge 54 ni kubwa mno!
 
Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! WAMESHINDA.
 
kwa nchi kama tanzania ambayo viongozi wake uogopa waajili wake utaratibu wa ndiyo au hapana haufai kwani ni kura za wazi ambazo kila mmoja anaona na kusikia... utaratibu mzuri ni wa kupiga kura za siri(maandishi) Kama ungetumika sidhani kama bajeti hii ingepita..
WAKUU michango yenu.


Tunazungumzia uwazi. Transparency Bungeni maana yake yanayosemwa yote ni wazi. Na wakati wa kupiga kura lazima kuwa wazi ili wanafiki waumbuliwe. Hii sawa kabisa.
 
hakuna ki2 nakichukia Bungeni kama desturi au utaratibu unao2mika wa kwamba walioafiki ni wengi so mswaada umepita
 
tunazungumzia uwazi. Transparency bungeni maana yake yanayosemwa yote ni wazi. Na wakati wa kupiga kura lazima kuwa wazi ili wanafiki waumbuliwe. Hii sawa kabisa.

next time ni wabunge watatumia simu zao kupiga kura
 
Shibuda aiburuza chadema afunga goli la ushindi kwa watu wa kanda ya ziwa,
 
Mpaka tupigane ndo walio wengi watapata haki yao
 
Mheshimiwa Sugu naona amekumbushia bongo flava bungeni kwa kuimba,magamba,magamba,magamba,magamba huku Halima Mdee akikolezea mafisadi,mafisadi,mafisadi.Hatimaye bajeti ya magamba aka mafisadi.
 
Back
Top Bottom