Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Nawashangaa hawa wanafunzi wa nape yan umeme umekatika bungeni wanashangilia nyinyiemu,nyinyiemu,nyinyiemi

leo nimeamini vizuri nyinyiemu ni upuuzi na dhaifu.
 
Kwa hesabu ya haraka hawa magamba wameshinda ila ndio washa jinyonga wenyewe wadhaifu hawa na huyu gamba shibuda ndio kauwa bendi kabisa!
 
Shibuda hajapiga kura yeyote jamani, mimi nimefuatilia Bunge Mwanzo mwisho.
 
Kuna wengine walitaman wengeitwa jina waseme
juzi...jana ....na leoooooo aka ndiooooo
du!!
 
Shibuda hakuwepo bungeni na wala kura yake haikupigwa.Hao vitu maalum waliokuwa wanasema ndio walikuwa wanafanya mzaha tu wala uropokaji wao haukuhesabiwa.
 
Hapa ni full kizunguzungu! Mara kapiga kura, mara hakuwepo!!!! Aaaaaahh!
 
Wadau kuna kila dalili, CCM+Shibuda wataibuka na ushindi wa kishindo dhidi ya wapinga maendeleo.

Namuona mbowe anatingisha kichwa kukiri kuburuzwa vibaya sana na CCM, zitto anatabasamu, mnyika amejikunyata akiwa na mawazo sana nafikili anajutia aliyoyasema dhidi ya rais maana hakuna hata tatizo moja la jimboni mwake ubungo lililogusiwa na serikali.
 
Kwa hesabu ya haraka hawa magamba wameshinda ila ndio washa jinyonga wenyewe wadhaifu hawa na huyu gamba shibuda ndio kauwa bendi kabisa!



mbona kuna wachangiaj wengine wamesema kuwa shibuda hakuwepo?
Niaje coz mimi cjafuatilia bunge kuanzia mwanzo!
 
hivi wafanyakazi waliwakosea nini SERIKALI YA CCM NI PAYE KUONGEZA KILA SIKU. MBONA WAFANYABIASHARA WANAPUNGUZIWA KODI?
 
Shibuda hajapiga kura yeyote jamani, mimi nimefuatilia Bunge Mwanzo mwisho.

Amesema NDIYO ila kwa sauti ya chini tena mara mbili we tv yako sauti umeweka kidogo kama iko juu ndo ungesikia ndo maana ccm wakawa wanamshangilia
 
kwa nchi kama tanzania ambayo viongozi wake uogopa waajili wake utaratibu wa ndiyo au hapana haufai kwani ni kura za wazi ambazo kila mmoja anaona na kusikia... utaratibu mzuri ni wa kupiga kura za siri(maandishi) Kama ungetumika sidhani kama bajeti hii ingepita..
WAKUU michango yenu.
 
Back
Top Bottom