Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

wana CCM JF ni muda wetu wakumzika tuwaache chadema wamjadili heche na shibuda wacje sambaratika tukakosa ushindani na vioja vyao
 
kwa uzoefu na nchi yetu haijawaitokea bajeti kukataliwa hata siku moja RIP Tanzania..
 
Jamani jamani nipigeje ukungaaaaaa!!!!!

Mkuu hakuna haja ya kupiga ukunga cha kufanya jiwekee marengo kuwa kufikia mwaka 2015 utakuwa umewabadilisha/ umewaelewesha watu kutowachagua CCM mfano 200 huo ndiyo uwe ukunga wako.
 
wana CCM JF ni muda wetu wakumzika tuwaache chadema wamjadili heche na shibuda wacje sambaratika tukakosa ushindani na vioja vyao
HChadema ni taasisi na siyo Shibuda...Sibunda ni ganda tu
 
wapi magwanda cd ya kukataa bajeti imechuja rasimi leo kazi kwenu tena kwenda studio kurekodi single mpya 2sije kuwamic sana bcoz mnatupa burudani sana kama vp mwambieni na babu slaa afanye remix ya single yake ya ufisad iliyoachuja inaweza kumpa promo kwa muda coz now amefulia kama mr nice
 
Hawa DHAIFU wamekataa kushusha PAYE????????

Kwa nini lakini serikali haikai na kuweka mipango itakayowaletea hela zaidi ya kutunyang'anya hata hiki kidogo tulichonacho? Kwa kweli imeniuma sana hadi machozi yamenitoka bila kujijua. I HATE THIS SERIKALI KUTOKA CHINI YA MOYO WANGU, huwa najitahidi sana kukwepa kodi ktk manunuzi ya bidhaa mbalimbali lakini huwa najisikia kuiibia serikali kwa ndani.

Lakini leo, natangaza rasmi, as long as ninajua sehemu ambayo nitanunua bidhaa bila kukatwa kodi, nitaenda huko, sina moyo kabisa wa kutoa kodi zaidi ya hii ninayokatwa ktk salary yangu, hivi kwa nini sisi tu wafanya kazi? au ni kwasababu hela yetu haina shida ya kuikusanya zaidi inaletwa yenyewe na accountants wetu?

Serikali, msinione mbaya kama noma na iwe noma, hamnijali na mimi sitoijali serikali, sitotoa kodi hiyo PAYE mnayonichukulia inatosha.
 
Mkuu una haki ya kukubali, kukataa au kuwa neutral ni haki yako. watu wengi walio neutral utasikia wabunge wanawapigia makofi.

Acha kupotosha! Kwa wote ambao hukusikia kura zao hawapo! Jumla yao ni 54. Na kila wakati akiitwa mbunge ikaonekana hayupo basi wabunge ambao walitegemea kuwa huyo ambaye angepiga kura kinyume na wao walikuwa wanashangilia. Hata kwa shibuda ccm wameshangilia kwasababu, kwa trend, angesema hapana. Hakuna option ya silent! Hata camera zilikuwa zinaelekezwa kwenye viti vilivyowazi whenever mtu akiitwa na kuonekana hayupo!
 
Swali kwa Nape, Mwigulu, Wassira< Ritz, Rejao na wengine.
UKIONDOA WINGI (majority) WA WABUNGE WA CCM, JE NI KIGEZO GANI KINGINE KINGEWEZESHA BAJETI MBOVU NAMNA ILE KUPITA?
 
kwani ni sheria kutaja majina?
kuanzia spika mpk msoma majina wote ovyo,yani jambo linaloitaji kufikiria kwa kiasi kidogo namna hiyo wanashindwa kufikiria,kweli utatumia dk zaidi ya ishirini kutaja majina ya wachangiaji?yana tija gani kwa wananchi na taifa.INAUMIZA SANA,VIONGOZI WA TANZANIA WATABADILIKA LINI KUTOKA KTK UJINGA WA KIJINGA NAMNA HIYO????
 
This proves what the late Ronald Reagan former US President said " government is not the solution to our problems in fact government is the problem".
 
Sijui baada ya leo wabunge wako wa magamba watakua wanafanya nini Dodoma kwasababu wamekubaliana na bajeti kama ilivyo. Sitarajii kuwasikia tena kwamba majimbo/wilaya/mkoa wao umetengewa pesa kidogo ktk miundombinu,afya,elimu,nk.
Shibuda aiburuza chadema afunga goli la ushindi kwa watu wa kanda ya ziwa,
 
Umeme wakatika mjengoni!
ccm! ccm! ccm!

Unakosea kusema sisi "m". Hujasikia vizuri
Soundi yenyewe orijino wanayoimba wabunge ni "FISI WENU!, FISI WENU! FISI WEU ..."
Jaribu uone inavyopendeza na inawakilisha ukweli.
 
Wadau kuna kila dalili, CCM+Shibuda wataibuka na ushindi wa kishindo dhidi ya wapinga maendeleo.

Namuona mbowe anatingisha kichwa kukiri kuburuzwa vibaya sana na CCM, zitto anatabasamu, mnyika amejikunyata akiwa na mawazo sana nafikili anajutia aliyoyasema dhidi ya rais maana hakuna hata tatizo moja la jimboni mwake ubungo lililogusiwa na serikali.


Asojua maana usimwambie maana. Kuna tatizo gani kubwa Ubungo na Tanzania nzima kuliko hili la kuwa na DHAIFU? Ukiondoa DHAIFU matatizo yote kwaheri. Ukitaka kumuua nyoka hupigi mkiani unapiga kichwa na kichwa cha matatizo yote Tanzania ni DHAIFU!
 
Back
Top Bottom