Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Ana mtaja na mnyika. Na kumbuka mnyika alisema jk ni dhaifu na ccm ni upuuzi. Kumbe wame kubali sasa
 
nusu ya muda utatumiwa kutaja wachangiaji - au ndo mbinu ya kulipua majibu - haihusu!!
 
mgimwa ushapoteza dk 15 kutaja majina du bado unaendelea tu kutaja ukimaliza utakuwa umetumia dk 45
 
Yan walio changia kwa maneno watu zaidi ya mia wanatajwa wote,nafikiri hizi sheria za bunge ziangaliwe upya.
 
kutaja majina ya watu waliochangia ni upuuzi sana, time management hakuna kabisa

Nahesabu, tayari Dr Mgimwa ameshatumia dakika 18 anasoma majina na bado anaendelea! Tatizo la kuwa na Spika wa kukariri, she is not creative kabisa!
 
Ndo wanaingia ukumbini. Na naibu waziri wa fedha kaanza kuwajibu wabunge maoni yao.

Huyu naibu chizi kweli eti serikali imetekeleza malengo ya milenia kwa kuwaweka wanawake wengi bungeni

Ndo aina ya mawaziri aliyonayo mr. Dhaifu
 
Jamani next time majina yatolewe kwenye magazet na kubandikwa ktk mbao za matangazo kuliko kupoteza muda wote
 
Delaying tactic! Anatoa shukrani, anataja waliochangia kwa mdomo, halafu waliochangia kwa maandishi! Akimaliza unakuta bado dk 5! Production time ni dk 5 out of 30! Tunasafari ndefu sana!
 
mtani wangu burudani - maana matamshi kama ya prof msolla - ya kule kwetu
 
wabunge wote leo nimewadharau sana kutajana majina tu mnashangilia na kugonga meza ilihali sisi wasikilizaji tunahasira kali naanza kuamini ile kauli ya kijana anaenza kubalehe kuwa wabunge wote ni wazembe kipi hasa kinawafurahisha
 
huyu mgimwa anapoteza mda kutaja mlolongo wa majina yana manufaa gani??
 
loo usingizi tayari kiasi watu wasinzie, what exactly is the point of all this name calling?
 
Back
Top Bottom