pmwasyoke
Platinum Member
- May 27, 2010
- 4,889
- 3,572
Mh Sitta bonge la KILAZA, kama wana ubav mbona wamekimbia? Nilikuwa namuheshm Sitta lakin leo nimemuona PIMBI
Hata mimi heshima kwa mzee huyu inazidi kuporomoka!
Mh Sitta bonge la KILAZA, kama wana ubav mbona wamekimbia? Nilikuwa namuheshm Sitta lakin leo nimemuona PIMBI
Edson, sote tunajua kuwa Sita sio kilaza. Tunafahamu uwezo wake wa kumudu mambo. Shida hapa ni moja kuwa ukiwa CCM ni lazima ukubali kuwa mnafiki. Ijumaa alipokuwa nanazungumzia muungano yeye kama kaimu kiongozi wa shughuli za serikali bungeni alisema: "Ninayoyasema siyo ninayoyaamini mimi kama mimi ila hii ndiyo historia. ..." Kwangu mimi, hapo alimaanisha anasema kwa vile yuko huko.
Mwangalieni mtoto wa mkulima alivyochuja ... Ni sababu ya kutaka kutetea mlo kwenye sahani. Ili hilo lifanikiwe ni lazima uwe mnafiki wa nafsi yako mwenyewe.
Nahisi karibu ya wabunge wote wa upinzan walikuwa wanaomba miongozo, jenista kila akimcheck Zitto Njemba imesimama, kafunga bunge kwa aibu aisee. Kaz wanayo.
Kumbe Sitta si mwenzetu, ahaaaa...!!!!Shughuli ni nzito sijui kama jioni ya leo patakalika huko. CCM hawataki kuambiwa ukweli. Ila kama alivyojikaanga Mh. Sitta kuwa Wananchi wataamua ni kweli wataamua. Maana hata yeye hajui wataamua nini
Safi sana, wazungu wanaona kuna siasa ya kweli Tanzania, hii ndio serekali ilikua inataka....Haya mheshimiwa Kikwete sasa ni wakati wa kwenda kwa wazungu kuomba msaada, watatupa nyingi tu safari hii.
Kumbe Sitta si mwenzetu, ahaaaa...!!!!
Kaaaz kwel kwel!Alipomwona ZITO na hamu ya kukaa katika kiti ikapungua, Bunge linaahirishwa huku mama anatembea kutoka katika kiti huku siwa bado imenin'ginia katika nguzo zake na askari yupo mita nyingi kutoka ilipo siwa.
Kwa kauli hii six umechemka mbayaa....yaani kweli mfa maji haaishi kutapatapa naona kifo cha magamba kipo krb.MH SAMWELI SITTA:Anasema angewasihi Wabunge wa CCM kuwa hawa wapinzani hawa ndio kazi waliyotumwa kuifanya wapinzani ni Wanafiki na mambo yao mengi yamekaa kinafikinafiki, Mfano kuita posho za vikao ni kuibia wananchi na baadhi yao wamekaa humu miaka mitano wakila posho sasa leo wanaziita kuwa si halali, hivi kweli wananchi watawaamini hawa.wataendelea kuwa hivi hivi na kubaki wapinzaniMiongozo imechachamaaMhagama anasitisha shughuli za Bunge huku Mic zote zipo on KAMA SOKONI AiseeeThis is Tanzania
kweli nimeamini kwa mwerevu inabidi uvae ukichaa/wehu ili kuitetea CCM.Edson, sote tunajua kuwa Sita sio kilaza. Tunafahamu uwezo wake wa kumudu mambo. Shida hapa ni moja kuwa ukiwa CCM ni lazima ukubali kuwa mnafiki. Ijumaa alipokuwa nanazungumzia muungano yeye kama kaimu kiongozi wa shughuli za serikali bungeni alisema: "Ninayoyasema siyo ninayoyaamini mimi kama mimi ila hii ndiyo historia. ..." Kwangu mimi, hapo alimaanisha anasema kwa vile yuko huko.Mwangalieni mtoto wa mkulima alivyochuja ... Ni sababu ya kutaka kutetea mlo kwenye sahani. Ili hilo lifanikiwe ni lazima uwe mnafiki wa nafsi yako mwenyewe.
Kumbe Sitta si mwenzetu, ahaaaa...!!!!
chizi ...?utaenda mirembe ww tuliza kistobena bado umeanza kuweweseka hujui uandikalo!Safi sana, wazungu wanaona kuna siasa ya kweli Tanzania, hii ndio serekali ilikua inataka....Haya mheshimiwa Kikwete sasa ni wakati wa kwenda kwa wazungu kuomba msaada, watatupa nyingi tu safari hii.
<BR><BR>Mh Sitta bonge la KILAZA, kama wana ubav mbona wamekimbia? Nilikuwa namuheshm Sitta lakin leo nimemuona PIMBI
kuna watu naamini sio watanzania jamani tuacheni watanzania tutafute haki zetu we omr ni zao la magamba huwezi ona hii. unaonekana ni mtoto SITTA mnafanana hata akili kweli unajua huku Tarime tunateseka vp. kweli we muuaji. nakuakikishia 2015 hapatakalika.hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.
CCM ndio dume lenu nyie.
kuna watu naamini sio watanzania jamani tuacheni watanzania tutafute haki zetu we omr ni zao la magamba huwezi ona hii. unaonekana ni mtoto SITTA mnafanana hata akili kweli unajua huku Tarime tunateseka vp. kweli we muuaji. nakuakikishia 2015 hapatakalika.