Ikumbilo
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 455
- 65
Muhagama kakimbia muongozo wa zitto, sbb aliomba muda mrefu hata kabla ya mhe. Sitta, cha kushangaza baada sita kumaliza vijembe, akafunga bunge. Ila h.kigwangala kwa kwel kilaza et kafananisha makusanyo ya kodi ya 2005 na 2010 bla kujua exchange rate ya dollar. N bora akaficha upumbavu wake cz kila cku wanamuumbua.
Jamaa atakuwa amekusoma sana hapa utaona ufafanuzi wake kwa WANABIDII. Duh hii kali.