Bungeni Kunawaka Moto

Ana kiherehere kujenga hoja zisizo na mashiko, anachokikosea kikubwa anashobokea watu wanaojielewa km wa kina Lisu,mf. Leo Kafulila, anapagawa na makof ya magambas wenzie, ila mwishoni wanamuumbua na kuonekana km kihiyo. Mhe. HK n bora ukajinyamaziaga sbbu unatuahibisha vijana si una mcheck Makamba jr. Kajikalia zake kimya.
 
huyu mzee(sitta) ni mtu wa ajabu sana.....hayuko muwazi.na huu ndio unafiki wenyewe...ni mzee wa ajabu sana....yaani mmi simwelewi hata kidogo
 
si huyu kigwangala aliye waandamisha watu halafu kesho yake anasema maandamano ni kuvunja amani ?jamami nahofu na udoctor wake au kaupatia kwenye neti nn

Inaelekea jamaa ni bingwa wa kudownload information na anasahau kuwa hata wanaoup load hizo informations pia ni binadamu na wakati mwingine wanamapungufu katika data zao.

Ndugu yangu KIGWANGALA anameza kama zilivyo na kutapika bila kuchuja. Uwezo wake wa kupambanua mambo amedhihirisha bado ni mdogo ikilinganisha na matarajio ya wengi.

Tulitegemea atakuwa mfano wa kina Nalaila Kiula wa Enzi hizo (Sahau wa sasa aliyechakachuliwa), lakini kawa kituko na mdandio hoja asiyejua kujitetea, mfano mzuri asubuhi ya leo wakati anatetetea wafamasia kuhusika na procurement and logistics hivi hajui hata jukumu lao na yeye ni Doctor katika tasnia hiyo.

Na mashaka makubwa na huyu jamaa.

Sasa hofu ni Mzee Six, kiukweli kama kaimu msemaji wa serikali Bungeni kwa sasa tulitegemea atoe tamko katika situation kama ya leo lakini si kwa kauli za mwanasiasa ambaye ni muflisi kwa mtindo ule. Ningekuwa natokea CRDB ningemambia '' HAUKO SERIOUS MZEE KAJIPANGE UPYA'' Haha bahati mbaya sipo huko.
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache. CCM ndio dume lenu nyie.
ัภชฒข฿่ กซัิชัาฟชธฑัิชาฒฑภัธชธ
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.

CCM ndio dume lenu nyie.

Can you prove this? You are healthily unfit. Go for Doctor's check.
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.

CCM ndio dume lenu nyie.

Huna haja ya kubadili ID wewe kibwengo! Huwazi zaidi ya Ubwa bwa na Tende! Shwaini wa kiarabu
 
Safi sana, wazungu wanaona kuna siasa ya kweli Tanzania, hii ndio serekali ilikua inataka....Haya mheshimiwa Kikwete sasa ni wakati wa kwenda kwa wazungu kuomba msaada, watatupa nyingi tu safari hii.
We punda hujisikii kinyaa kupost takataka kama hizi?
 
ัภชฒข฿่ กซัิชัาฟชธฑัิชาฒฑภัธชธ

Hii itakuwa inamtosha kama si urdu hiki basi kihindu, akimpata Jitu Patel amtafsirie hatapost upupu tena
 
Kama tulivyobashiri, Jenista wa Mhagama ametokomea jumla na sasa Kikao kinaendeshwa na Job Ndugai,

anafungua tu kikao wanaume wanaomba muongozo wa Spika, kwa kuonyesha kuwa kakusudia na kaja na lengo maalum la kutuliza moto wa wapiganaji, kakiuka haki hiyo ya msingi ya Mbunge aliyeomba Muongozo kwa kumuita mara tatu '' MUONGOZO WA SPIKA''

Na badala yake kamwita Naibu waziri wa Afya Lucy Nkya kutoa na yeye Mchango wake. Hii inamaanisha baada ya Naibu waziri kuwasilisha maoni yake automatically anapanda Waziri na kuhitimisha Hoja unless kuna utaratibu mpya katika marekebisho ya taratibu za kupokea michango katika kikao ambacho Mnyika aliwakatalia jana baada ya Lukuvi kutaka kutoa maazimio ya kupotosha juu ya makubaliano katika kikao hicho

Lucy Nkya anaendelea na Tunasikiliza mchango wake
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache. CCM ndio dume lenu nyie.
Mpumbavu sana wewe unaota ndoto za mchana.
 
Anatetea matumizi ya bajaj kama ambulance vijijni na kuwa wamejifunza kutoka Nchi kama Malaysia na Bangladesh na kuwa kama taifa tunalazimika kuiga na kujifunza mema kutoka kwa wenzetu.

cha ajabu hapa hivi bajaj bei mpya ni kama milioni 10? sasa sijui nini kinaepukwa hapo lakini pia hatuambia uimara wa miundo mbinu ya huko walikojifunza ukilinganisha na mahandaki ya barabara za Tanzania.

Huyu Mama vipi?
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache. CCM ndio dume lenu nyie.
''Ni heri kujikwa kidole kulikoni kujikwa ulimi'' sina uhakika kama umeelimika ipasavyo coz ujumbe wako unaonyesha dhahira ua thinking capacity ipo low.
 
Kwa hiyo ukifanya kosa ukagundua kama umekosea unaendelea? Au unarudi nyuma unatafakari harafu unafanya mabadiriko. Ukifanya mapenzi na kinga ukagundua kuwa imepasuka unaendelea hivyo hivyo ? Au unaacha unajipanga upya ili uwe salama. He Magambazi. please lean to make changes otherwise bye 2015.

Well said mkuu! Mi naelewa wapinzani hawako perfect; lakini ni muhimu wananchi wakiwaonyesha weakness zao wazisahihishe na sio kuzikumbatia. Same applies to CCM. Lakini majibu ya wabunge wa CCM yananipa taabu sana,sijui kwasababu wengi ni watu wa enzi za wazee wetu ambao wamejenga culture ya kutosahihishwa au ni nini hasa? Sitta anatakiwa ajue tunalifahamu hilo lakini je what do we do now? Tunajua pande zote previously zilizembea ndio maana tumefika hapa tulipo (kuanzia wananchi, CCM, na vyama vyote vya upinzani). Lakini moving forward tunajipanga vipi kuepuka kurudia makosa yale yale. Hapa ndipo simwelewi kabisa Sitta kwenye hili anatetea nini? Tunapoteza kabisa maana ya Bunge tunapolifanya mahali pa mipasho badala ya sehemu ya kutunga sheria, na mahala paku-question government pale mambo yanapokua yanaleta utata ili kuhakikisha kuna check and balance.
 
Back
Top Bottom