Bungeni Kunawaka Moto

Bungeni Kunawaka Moto

Huyu waziri wa Afya vipi tena CCRBT badala ya CCBRT. ila namsamehe maana tokea mwanzo amekiri kua anasoma kama ilivyoandikwa
 
Dakika tano zilizopita umeme umekatika/umekatwa ndani ya majengo yote ya ukumbi wa Bunge na hivyo kulifanya bunge kutokuweza kuendelea .

Alikuwa waziri wa Afya ndio ameanza kutoa majibu ya hoja mbalimbali za wabunge kwani ndio anahitimisha hotuba yake muda huu .


Hivi ni kweli kuwa Bunge halina generator ambazo ni automatic kwa ajili ya kutoa huduma za umeme pindi ukikatika?


Ntawajuza nini kinaendelea punde .
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.

CCM ndio dume lenu nyie.

Mkuu
Mimi siyo mwanachama wa CCM na wala CDM, na pia si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Niliwahi kuwa TANU/CCM kwa vile ilikuwa mjibu wa sheria enzi hizo. Baada ya mfumo wa vyama vingi baadhi ya watumishi wa umma hawakutakiwa kujiunga na vyama vya siasa, na tangu wakati huo sijajiunga na chama chochote. nimeleza yote haya ili kuonyesha kuwa siyo kila mtu kwenye jamvi hili ni CCM au CDM n.k.

Sasa napenda kutoa mchango wangu wa mawazo kuwa kama kweli sisi ni watanzania tunaoipenda nchi yetu, ushabiki wa vyama vya siasa hautatufikisha popote. CCM kwa kuwa na wabunge wengi bungeni ndio chanzo cha kiburi,jeuri na tabia ya kuupuuza watanzania.
Wabunge wengi wa CCM wapo kukiwakilisha chama chao zaidi kuliko kuwakilisha majimbo yao,jambo ambalo limedumaza maendeleo ya watanzania kwa muda mrefu. vurugu nyingi wizi wa kura hulenga kuweka wabunge wengi ndani ya bunge hata kama hawana mchango wowote kwa taifa na utumiaji wa vyombo vya dola kukandamiza upinzani nao ni mbinu itumiwayo na CCM jambo hili haliyusaidii ndugu zanguni huku ni kukandamiza demokrasia ya kweli. Na hii ndo jeuri ya kujiita dume lenu wakati ni dume kibogoyo"toothless bull".

Kazi ya chama cha upinzani huwa ni kukosoa na kushauri kipi kifanyike kwa lengo la kuboresha maendeleo ya wananchi na nchi kwa ujumla,dhana ambayo kwa mtizamo wangu CCM inalichukulia kama unafiki au mashindano. Ikumbukwe leo kwamba leo kama huko upinzani kesho unaweza kuwa ndo mpinzani kwani hakuna dhibitisho kuwa CCM itadumu milele madarakani.Kaunda hakutegemea Chiluba angemwondoa madarakani.
Ushauri wangu kwa wana CCM wakumbuke usemi wa zamani kuwa "cheo ni dhamana", fanyeni mambo kwa kuzingatia kuwa kuna kesho.

Kwenu watu wa vyama vya siasa (upinzani), matatizo na vikwazo mnavyopata ni tatizo la katiba ambayo inatoa mwanya mkubwa wa kuwabana k.m
uhalali wa tume ya uchaguzi,matumizi ya vyombo vya dola dhidi ya upinzani (wakati Sugu anapowekwa chini ya ulinzi kwa kosa la kawaida,mbunge mwingine anayetishia kuua anaombewa ruhusa/kibali kwa mwanasheria au mkurugenzi wa mashitaka cha kukamatwa. Bunge lenye tabaka la wabunge). Hayo ni matatizo ya kikatiba, sasa mkazo mkubwa uwekwe kwenye kuikwamua nchi na wananchi kwenye katiba inayotoa mwanya kwa mkuu wa nchi kuchagua refa,washika vibendela kuchezesha ligi ya uchaguzi (Tume ya Uchaguzi). Kweli ndugu zangu "Fisi akiwa hakimu Mbuzi ana sheria"?.Ushauri wangu ni kwamba lekebisheni maswala ambayo yamekuwa vipingamizi vya ushindi wenu baadala ya kukimbilia Ikulu. Kwani mkikimbilia Ikulu bila maandalizi haya mkini kunaweza kusiwepo na tofauti yoyote.


Great Thinkers nasi tutoe mchango wa mawazo tukizingatia utanzania/utaifa zaidi badala ya itikadi zetu, katika hilo tutaweza kutoa mawazo yasiyo base/fungamana na chama chochote cha siasa. Ni hapo tu, tutakapoweza kusaidia taifa letu. hebu tufike mahala jembe tuliite jembe na si shoka.
 
Kahinga,
Marekebisho madogo:-
Haijawahi kuwa mujibu wa sheria kujiunga na TANU, huu ni uzushi mtupu. Sote tumekua wakati wa TANU na tumeajiriwa na serikali ktk wizara zake na hakuna siku niloulizwa kadi yangu ya chama ktk ajira yeyote!
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.

CCM ndio dume lenu nyie.

Wewe KIAZI usiyeiva husomi ishara za nyakati!!! Kura gani za wizi!!!??? Kwa taarifa yako mkiiba tena wewe utakuwa wa kwanza kula adhabu yako mnafiki wewe!!
 
Nadhani utakuwa umetokea sayari isyoweza ishi binadamu. Huwezi kuwa wa kawaida ukawa unatetea kila kitu. Wenzako wameshakata tamaa. Unaowatetea hawasafishiki. Too dirty. Ukweli ni kwamba CCM sio chama makini tena. Hakuna hoja, wanatumia mob solution huku wakikimbia hoja. Its a shame tunapokuwa na wasomi ndani ya ccm halafu chama kinachoka kihoja kiasi hicho
chizi ...?utaenda mirembe ww tuliza kistobena bado umeanza kuweweseka hujui uandikalo!
 
Akili za panya ni panya tu! 2010 ulipigwa uchaguzi leo unasema CCM wasubiri 2015 lazima washindwe! 2010 CDM walikua wamelala? Na kama walijipanga what happened? Wabunge wa majimbo 239 CDM ilipata 26! What a shame! CDM jipangeni mtabaki watu wa kulalamika! Panya akinaswa kwenye mtego leo na kesho atapitia hapohapo aliponaswa! CDM na akili za panya!
 
Kitu kimoja ni dhahiri hapa, wabunge wa ccm wameamua kuwa rubber stamps ya serikali. Wako tayari kuweka rehani fikra zao kuitetea serikali yao dhalimu.

Hili suala la bajaj lazima tuelewe kuwa lina uhusiano na mradi wa kilimo kwanza. Tunafahamu jinsi wahindi walivyokuwa mstari wa mbele kuchangia kampeni za ccm na jinsi walivyoiweka serikali yetu mfukoni. In return wanapewa dili za kuleta trekta na bajaj! Tumekwisha, lazima tuyapinge magamba kwa nguvu zaidi sasa. Haiwezekani kila kukicha tunalalama bajeti ndogo huku hakuna juhudi za kupunguza matumizi ili kuwiana na hali ya uchumi kwa sasa! Kibaya zaidi tumewapa bure wageni utajiri wa mabilioni ya dola kutoka ktk rasilimali madini!
 
BODI YA BONGO MOVIES😛endekezo!x3,binafsi kama mtanzania,muuzaji etc.hii pia nikero kwa wauzaji wote wa hizo movies,mjaribu kuwa na utaratibu mzuri wa kuachia movie mpya.Sio kila siku yaani sisi tunashindwa jinsi ya kuziuza,baada ya wiki wanunuaji wanataka nyingine mpya.Hii mnatuumiza sisi 2naouza lejale kwakweli mnatuboa mnatuboa kwa tabia yenu kila siku movie na watazamaji wanalalamika . Sana mnawanufaisha wakodishaji.BE CARE ON THIS......la sivyo mtazidi kuibiwa.
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache. CCM ndio dume lenu nyie.
Watu wengine w.a.s.....e kweli
 
Kahinga,
Marekebisho madogo:-
Haijawahi kuwa mujibu wa sheria kujiunga na TANU, huu ni uzushi mtupu. Sote tumekua wakati wa TANU na tumeajiriwa na serikali ktk wizara zake na hakuna siku niloulizwa kadi yangu ya chama ktk ajira yeyote!

Mkuu
Kumbuka kuna wakati hata kupata liseni ya biashara uliulizwa kadi ya chama, hukwenda chu kikuu bila kuonyesha kadi ya chama hiyo ndo niliyochukulia ni mjibu wa sheria. Hatakama haikupitishwa rasmi, kwa wale ambao wanakukbuka mambo haya wanaweza kupinga au kusahihisha usemi wangu.
 
Kwa hiyo ukifanya kosa ukagundua kama umekosea unaendelea? Au unarudi nyuma unatafakari harafu unafanya mabadiriko. Ukifanya mapenzi na kinga ukagundua kuwa imepasuka unaendelea hivyo hivyo ? Au unaacha unajipanga upya ili uwe salama. He Magambazi. please lean to make changes otherwise bye 2015.
Thanks kwa mfano hai
 
hizo ni kelele za wapumbavu wa CDM, hakuna lolote hapo. Mwisho wa maneno ni kwenye kupiga kura na hapo ndio mtajua nini maana ya kuwa na wabunge wachache.

CCM ndio dume lenu nyie.
acha upumbavu.......ccm dume kwako
 
Sitta ndiye bure zaidi kuliko, ngoja aonyeshe tamaa yake ya ubunge wa posho si vinginevyo.
Yeye ndiyo mnafiki number moja, tena muoga na ndumilakuwili, hana maana sasa. Mwizi tu kama mafisadi.
 
Mkuu
Kumbuka kuna wakati hata kupata liseni ya biashara uliulizwa kadi ya chama, hukwenda chu kikuu bila kuonyesha kadi ya chama hiyo ndo niliyochukulia ni mjibu wa sheria. Hatakama haikupitishwa rasmi, kwa wale ambao wanakukbuka mambo haya wanaweza kupinga au kusahihisha usemi wangu.

Mkuu tuliosoma zamani kulikuwa na sehemu ya kujaza mambo ya CHAMA kwenye form za kujiunga na University of Dar es Salaam. Kwenye Migomo tulikuwa tunalazimika kupata sahihi ya viongozi wa chama wa vijiji kama kweli tulifika huko. Tumetoka mbali
 
Sina shaka huu ujoto wa mchakato wa jana huenda ukajitokeza asubuhi hii katika maswali na majibu bungeni
 
Good PM is back this means hofu juu ya kutokuwepo na session ya maswali ya papo kwa papo hapo kesho haipo na atakuwepo mjengoni kujibu kero hizi ambazo inashangaz kuona hata wao wanatuhadaa ati hawazijui kama ilivyokuwa kwa sula la NAHODHA kukaa Hotelini
 
Kwa Hofu Job Ndugai amaekalia kiti tena kuendeleza ubabae wa jana jioni
 
Back
Top Bottom