Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Hata kwa 30% tu mkuu tungekuwa mbali snHiyo bajeti kama ingekuwa inatekelezeka kwa 100% hii nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo, tatizo tunawategemea wahisani matokeo yake wasipotoa ngoma inalala, tunajua tu kuisoma kwa mbwembwe nothing else.
Ongezeko la tozo za barabarani,Msitegemee jipya
Serikali ya CCM, nimemiss yale maneno ya Serikali ya Mheshimiwa Dr Joseph John Pombe Magufuli, hivi ilikua ni Lazima kusema hivyo??Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali
Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22
Halafu baadae wanawalaumu CHADEMAOngezeko la tozo za barabarani,
Ongezeko la kodi kwenye sigara, pombe, na mafuta ya taa/dizeli
Kulipia vibali vya ujenzi hata ukitaka kujenga choo.
Shubamiti! Nchi ina laana hii.
Mkuu Salary Slip katika ubora wako wa kunyooshea kidole CCM na Serikali yake wakati vilivyobaki vinasuta Chama ambacho unashabikia. Ili ujitokeze mwenye fikra pevu angalau uwe unatoa mapendekezo yako, km maeneo mengine ya kukusanya kodi.Msitegemee jipya zaidi ya kodi za kukamuana na kuongeza ukubwa wa budget(makadirio), budget ambazo kila mwaka hawafikii malengo kwenye makusanyo...
Hahaha huyo alitupeleka porini kabisa sasa Tunakula Matokeo....Hivi zile Noah alizoahidi mwendazake zinatoka lini?
Nimewahi leta mapendekezo mengi tu kupitia hapa JF hivyo usidhani sijawahi shauri.Mkuu Salary Slip katika ubora wako wa kunyooshea kidole CCM na Serikali yake wakati vilivyobaki vinasuta Chama ambacho unashabikia. Ili ujitokeze mwenye fikra pevu angalau uwe unatoa mapendekezo yako, km maeneo mengine ya kukusanya kodi.
Nachelea kuwa na mtazamo kama wako nikitoa mifano ya mapungufu makubwa ya kiSera ya hicho chama chako na mienendo ya viongozi wake
Nchi hii ni yetu sote. Ni jukumu letu kuhakikisha inaendelea na tunapata maendeo. Tunapaswa kueleze au kuonesha hivyo vyanzo vipya vya mapato ili basi tuendelee. Kuponda, kukejeli, matusi na kukatishana tamaa kwa nchi yako ni ujinga.Msitegemee jipya zaidi ya kodi za kukamuana na kuongeza ukubwa wa budget(makadirio), budget ambazo kila mwaka hawafikii malengo kwenye makusanyo.
Hawabuni wala hawatengenezi vyanzo vipya zaidi ya kucheza na vyanzo vile vile miaka yote( pombe, kodi za bandarimi, n.k).
Ubunifu wa miradi mipya hauendani na ongezeko la vyanzo vya mapato matokeo yake budget hazitekelezeki.
CCM imefeli sana katika swala zima la ubunifu wa vyanzo vya mapato.
Safari hii covid ndio itakuwa wimbo kwenye hii budget na kulalamika wahisani kutotekeleza ahadi zao.
Budget isiyo kuwa na mvuto hata kidogoAs long as Tax base ni ndogo, hakuna ubunifu ktk ukusanyaji kodi, matumizi mabaya ya pesa za uma, mikopo isiyokua na tija, utekelezaji wa miradi kwa kasi ya kinyonga, vipaombele visivyokua na tija bajeti haiwezi kuleta matokeo chanya ht siku moja.
Well said