Bungeni: Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2021/22

Vipi kuhusu Pombe?(Sio Jiwe)
Wamepunguza kod nadham kwenye shair na kuongeza ile ya kuagizwa..wanataka waimarishe inayotengenezwa hapa....mambo mengne kuhusu pombe nilikua sina muda wa kuyaskiliza.si muhim sana kwangu
 
Nimewahi leta mapendekezo mengi tu kupitia hapa JF hivyo usidhani sijawahi shauri.

Mifano ni hii:








Vile vile wapinzani Bungeni na nje ya Bunge wamekuwa walishauri mara nyingi tu jinsi serikali inayoweza kuongeza mapato ila serikali ni wagumu kushaurika.
Nini maoni yako kuhusu wigo mpya wa kodi kwenye bajeti 2021/22?
 
Nini maoni yako kuhusu wigo mpya wa kodi kwenye bajeti 2021/22?
Kodi zozote ambazo ni ndogo ndogo mimi sizipingi na hasa kama zinagusa watu wengi ila mradi zilenge kupunguza gharama za huduma ambazo ni ghali na ikiwezekana zipunguze city kama PAYE.
 
Mkuu Salary Slip katika ubora wako wa kunyooshea kidole CCM na Serikali yake wakati vilivyobaki vinasuta Chama ambacho unashabikia. Ili ujitokeze mwenye fikra pevu angalau uwe unatoa mapendekezo yako, km maeneo mengine ya kukusanya kodi.

Nachelea kuwa na mtazamo kama wako nikitoa mifano ya mapungufu makubwa ya kiSera ya hicho chama chako na mienendo ya viongozi wake
Yaani wizara yote wabunge wote pale ,wasomi wote wizarani na bungeni elimu darasa la saba mpaka PhD .ndio akili zao zimefikia kuamua kodi ya jengo ilipwe kupitia umeme,kweli unafikiria unaweza shauri vingenevyo ,sisi raia wakasikia !!??? Sana sana ni kugoma tuu,wavivu wakubwa hawa kufikiri
 
Back
Top Bottom