KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 80
Wapinzani mbona wachache sana ukilinganisha na CCM?
Sio wahuni tu. Wapo majambazi na wavuta bangi. Wapo pia wasagaji. Kuna kituko cha namna yake kilichotekea tena jana jioni. Nusura wabunge wawili akina DADAS, mmoja toka CCM amkwide mwenzake wa Chadema wakitoka ukumbini. Ni busara tu za Mbunge mwingine zilizoepusha purukushani hiyo ya aina yake.