Bunge livunjwe kwa sababu limejaa wahuni - Ole Sendeka

Fikra za kimasaburi hizi "Bunge livunjwe, Rais ajiuzulu na Waziri mkuu awajibishwe".... hawa wameshaambiwa atakayeendelea kugoma atakuwa amejifukuzisha kazi.... wewe analeta upupu hapa! Hivi unajua madhala ya haya unayotaka yatendeke?

fikra za kimasaburi zikoje..JE unaogopa matokeo ya kitakacho tokea kama haya yanayo hamasishwa yatatekelezwa.. basi mwambie jk aongoze nchi aache kuchekacheka
 
Tanzania tumeingia katika aibu ya Dunia

Nchi inadaiwa sana, nchi ni omba omba.

Uchumi umedorara, mfumuko wa bei

Watanzania wanazidi kuwa masikini

ufisadi unafanyika mchana kweupe, mafisadi hawachukuliwi hatua.

Wafanya kazi ambao ni kada muhimu katika uzalishaji na huduma za jamii hawathaminiwi, badala yake wabunge wanakula keki yote ya taifa
wabunge wanabariki ufisadi, wabunge ni wabinafsi, wabunge wana miliki biashara na wanakwepa kodi

wabunge na mawaziri ni wafanyabiashara na wanapandisha bei ya mafuta

MGOMO WA MADAKTARI

MADAI YA MADAKTARI NI YA HAKI NA NI KWA AJILI YETU SOTE WANANCHI WALALAHOI

WABUNGE NA MAWAZIRI WAO WANATIBIWA NJE YA NCHI KWA KODI ZA WANANCHI

NDO MAANA WABUNGE NA MAWAZIRI WANAPUUZA MADAI YA MADAKTARI.

MADAKTARI WANATAKA VITENDEA KAZI ILI WANANCHI TUPATE HUDUMA BORA ZA AFYA

MADAKTARI WANADAI MASLAHI BORA ILI WATOE HUDUMA AKILI ZAO ZIKIWA TULIVU KWA FAIDA YETU.

WATANZANIA SHIME TUAMKE, HASA VIJANA TUAMKE.

VIJANA TUHAMASISHANE NA TUINGIE BARABARANI KUDAI HAKI ZETU.

TUTUMIE MAWASILIANO YA FACEBOOK NA SIMU,

Naunga hoja mkuu
 
Fikra za kimasaburi hizi "Bunge livunjwe, Rais ajiuzulu na Waziri mkuu awajibishwe".... hawa wameshaambiwa atakayeendelea kugoma atakuwa amejifukuzisha kazi.... wewe analeta upupu hapa! Hivi unajua madhala ya haya unayotaka yatendeke?

we dont care any more...liwalo na liwe.,
 
hayo unayoyaota hayawezi kufanyika kwa sababu madaktari wamemdharau waziri mkuu ambaye alienda kuwasikiliza wao wakamkwepa
 
huwezi kuingiza siasa zako uchwara kwenye mambo ya msingi,kwanini unataka vijana waingie barabarani,unataka kuwahadaa watu wenye akili zao timamu wachukue ukichaa wako?
 
huwezi kuingiza siasa zako uchwara kwenye mambo ya msingi,kwanini unataka vijana waingie barabarani,unataka kuwahadaa watu wenye akili zao timamu wachukue ukichaa wako?

Hatimaye Waziri Mkuu apitisha posho za wabunge toka sh. 70,000/= mpaka 200,000/=, sasa watakuwa wanajukua jumla ya sh. 330,000/= kwa siku kama jumla ya posho zote. Zitto Kabwe, January Makamba, Dr. Kigwangala na wengine wote waliokuwa wakipinga ongezeko hilo wamezomewa. Spika Makinda amewaita "Watafuta Umaarufu wa kisiasa". Kwa mwendo huu Madaktari gomeni zaidi!

Mkiacha tu mgomo,mtadharaulika na hamta pata suluhisho la matatizo yenu.

Onesheni mfano wa kuigwa na kila mwananchi.
 
Fikra za kimasaburi hizi "Bunge livunjwe, Rais ajiuzulu na Waziri mkuu awajibishwe".... hawa wameshaambiwa atakayeendelea kugoma atakuwa amejifukuzisha kazi.... wewe analeta upupu hapa! Hivi unajua madhala ya haya unayotaka yatendeke?

You must be above 40yrs. In case of political unrest, you have a lot to loose others we have nothing to loose.
 
Fikra za kimasaburi hizi "Bunge livunjwe, Rais ajiuzulu na Waziri mkuu awajibishwe".... hawa wameshaambiwa atakayeendelea kugoma atakuwa amejifukuzisha kazi.... wewe analeta upupu hapa! Hivi unajua madhala ya haya unayotaka yatendeke?

Hakuna madhala zaidi ya watu kufa hovyo! Kuhbusu ajira nao madaktari wanarudi majimboni wanagombea ubunge lazima watapita tu! Kwanza wamesoma na wana-PHD za ukweli kuliko hata za MKWELE! Kama umetumwa waambie waliokutuma kuwa madaktari wanaungwa mkono hata na RAIA! Punguzeni kwanza posho za kusinzia na kugonga meza kisha kwenda Chako ni Chako ukiwa na vimwana ndo mgomo utakwisha la sivyo mapinduzi yanakaribia! KEEP MOVING REAL DOCTORS GOD WILL BE ON YOUR SIDE!!!! CCM wafie mbali!
 
MAGEUZI NDIYO DAWA.na nyinyi watanzania msio tayari kwa mageuzi jifunzeni na mu update fikra zenu mnakokwenda na mlipotoka
 
Hatimaye Waziri Mkuu apitisha posho za wabunge toka sh. 70,000/= mpaka 200,000/=, sasa watakuwa wanajukua jumla ya sh. 330,000/= kwa siku kama jumla ya posho zote. Zitto Kabwe, January Makamba, Dr. Kigwangala na wengine wote waliokuwa wakipinga ongezeko hilo wamezomewa. Spika Makinda amewaita "Watafuta Umaarufu wa kisiasa". Kwa mwendo huu Madaktari gomeni zaidi!

Mkiacha tu mgomo,mtadharaulika na hamta pata suluhisho la matatizo yenu.

Onesheni mfano wa kuigwa na kila mwananchi.

Kwenye red, speaker hakupaswa hata kushabikia alitakiwa awe neutral. Hivi umaarufu wa wabunge hawa watatu nani asiyeujua. Wawe maarufu mara ngapi?
 
Kama Mizengo Pinda ni mtoto wa mkulima basi analima posho ambayo ni damu ya Watanzania wanyonge walalahoi
 
(Nime gundua nchi hii atleast madaktari ndio watu majasiri (no wonder wanasoma mda mrefu).

The rest sisi ni waongeaji tu,....so mimi nitaunga mkono any action,....sio maneno.)

Tarehe ......pliiiiiiizzzzzzzzzzzzzzzzzzzz,
Mi nitakuwa Ubungo kuanzia saa 1 asubuhi,......lete tarehe fasta: tuache utani hapa watu wanakufa kama kunguni......
(Wanaoleta manenomaneno ya kututoa kwenye fikra sahihi tusiwajibu, Tafadhali!)
 
kama hawatakutiss kwa mada yako hii. Kuingia kwenu barabarani ndio kutaondoa matatizo?

aa wapi, mume wa tiss wangapi na mapambano bado yanaendelea.

Wewe unaona ni sawa, huu uonevu uendelee, wabunge wajiongezee posho halafu madokta hapana.

Bora kufa ukiwa umesimama kuliko kutembea ukiwa mfu
 
Vijana tupashane habari na tupange mkakati.

naomba wanaharakati mtusaidie ili iwe maandamano ya kitaifa
 
npo pamaoja na madaktari,waendeleze mgomo pasipo wasi,pinda hawez kuwatisha wa2 ambao wamesoma,anavyet halali,na ni professional doctors.acha 2fe 2 uvivu wa kufikiri wa serikali ndo umesababisha haya yote.wa tanzania nass n waoga sana,its our time nasisi to rise up 2day haki ye2 ya msingi ya kupata huduma za afya.
 
Back
Top Bottom