Bunge livunjwe kwa sababu limejaa wahuni - Ole Sendeka

Wapinzani mbona wachache sana ukilinganisha na CCM?

Sio wahuni tu. Wapo majambazi na wavuta bangi. Wapo pia wasagaji. Kuna kituko cha namna yake kilichotekea tena jana jioni. Nusura wabunge wawili akina DADAS, mmoja toka CCM amkwide mwenzake wa Chadema wakitoka ukumbini. Ni busara tu za Mbunge mwingine zilizoepusha purukushani hiyo ya aina yake.
 
olesendeka kazaa mtoto nje ya ndoa,anaitwa anna,amemaliza jangwani sekondari form four 2011,anakutanaga naye steers kwa kujificha sana,huyu mtoto ana maisha magumu,anakaa vijibweni,kigamboni,..huyu olesendeka ndio muhuni mkubwa,...
 
olesendeka kazaa mtoto nje ya ndoa,anaitwa anna,amemaliza jangwani sekondari form four 2011,anakutanaga naye steers kwa kujificha sana,huyu mtoto ana maisha magumu,anakaa vijibweni,kigamboni,..huyu olesendeka ndio muhuni mkubwa,...anapokea miposho kibao,.a dead beat dad.
 
ccm ccm ccm, upofu wa macho na upofu wa ufahamu ni tofauti kabisa. kwa sasa ccm wamepigwa upofu wa ufahamu hakika hawatafunguka mpaka anguko litimie ndio maana wengine wanasema ukiwa huko ni dalili tosha ya mtindio wa ubongo na huna haja ya kupimwa
 
Ccm walipanda kwenye mti mreeefu wakarelax hk wakila kuku kwa mrija na soda na kuwapumulia kwa "makalio" wananch wenye njaa kali ghafla wakatokea chadema wanautikisa mti kwa kasi ya ajabu ccm wanachomoka kileleni mithili ya jani kavu na kila tawi wanalobembea nalo ili kujinusuru wasianguke linavunjika, ccm walizoea vya kunyonga, Watanzania tegemeeni vituko zaid tk kwa ccm
 
Nadhani Sendeka yuko sawa. Bunge limejaa wahuni wanaokesha Rose Garden pale Dodoma wakitomasa makalio ya akina dada huku nchi haina umeme. Kuna wahuni ambao wanawakemea wenzao kwamba ni wapinzani na watafia upinzani huku wao wenyewe wakiwa na vyama vya upinzani makwapani mwao!! Kuna wahuni ambao hoja kwao ni kuzomea! Kuna mhuni ambaye alimpiga kibao na kumtolea bastola mpinzani wake wakiwa kwenye kikao cha kimila huko Orkasmet!! Wahuni wahuni kila kona ya Bunge!

Nimecheka hadi tumbo lauma!
 
Ole Sendeka amemuomba rais Jakaya Kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: mwananchi.
Wahuni ni wale viongozi wanaoongoza kwa kuweka vimada katika ngazi mbalimbali za uongozi. wahuni ni wale wanatumia kodi zetu kwenda kustarehe na vimada. wahuni ni wale wanaotetea maslahi ya matumbo yao mjengoni. Sendeka anashtaki kwa nani? Kesi ya mwanakondoo kwa CHUI!!! hakimu CHUI???!!
 
Ole Sendeka amemuomba rais Jakaya Kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: mwananchi.

Wana JF,

Kama Bunge letu limejaaa wahuni hivi je la Uingereza utasemaje nadhani ole sendeka alitakiwa kuangalia bunge za nchi nyingine aelewe kwanza kwetu wabunge ni wavumilivu nchi nyingine unakuta wabunge wao kwa wao wanarushiana ngumi na wako chama tawala, mfano uingereza mpaka huwa wanazomea oooooooh oooooooh na maneno mengi ya kejeri sasa hapa kwetu mtu akikosoa tu ooooh amatoa lugha sio uzuri jana kafulila akawa ame quote maneno ya baba wa taifa ndicho ujue kuwa wabunge wa CCM wasivyo fikilia kwa akili wao ndio hufilikiri kwa matumbo yao.

Ukweli me ni CCM mageuzi nasema iliyo kweli kwa hali iliyopo bunge likivunjwa kwa akili ya viongozi au wabunge hao wa CCM wanavyo fikili ita kuji kuwa coast balaaaaaah watarudi mjengoni nusu yao na watajutia kauli zao.
 
Ole Sendeka amemuomba rais Jakaya Kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: mwananchi.

Ufafanuzi zaidi unahitajika hapa. Uhuni anaousema ni upi? Na yeye je? Mhuni au?

Neno limejaa means every member inclusive! au?
 
Ole Sendeka amemuomba rais Jakaya Kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: mwananchi.

Naunga mkono hoja.Wavaa vidani wamo humo,watoto wa mipasho,akina Sugu,akina Vicky,mashoga,wasagaji,akina Berlusconi nk.. Hapana,kweli bunge letu la wahuni,livunjwe.Hatuwezi kufika popote na watu hao.Huwa mimi najiuliza sana,hivi tumefikaje hapo?
 
Hakuna jambo linalonikera kama huyu ajuza MAKINDA anavyoliendesha bunge...anatumia hisia zake za ki ajuza ajuza kuendesha mambo nyeti kwa kujficha ktk mwamvuli wa kanuni, mbona ushahidi wa mh.LEMA aloukomalia hadi leo kaukalia...au kaenda kuweka pambo nyumbani kwake...?
 
Ccm walipanda kwenye mti mreeefu wakarelax hk wakila kuku kwa mrija na soda na kuwapumulia kwa "makalio" wananch wenye njaa kali ghafla wakatokea chadema wanautikisa mti kwa kasi ya ajabu ccm wanachomoka kileleni mithili ya jani kavu na kila tawi wanalobembea nalo ili kujinusuru wasianguke linavunjika, ccm walizoea vya kunyonga, Watanzania tegemeeni vituko zaid tk kwa ccm
Mkuu umemaliza kila kitu. Hapa sina cha kuongeZA bali kukupongeZA
 
Hakuna jambo linalonikera kama huyu ajuza MAKINDA anavyoliendesha bunge...anatumia hisia zake za ki ajuza ajuza kuendesha mambo nyeti kwa kujficha ktk mwamvuli wa kanuni, mbona ushahidi wa mh.LEMA aloukomalia hadi leo kaukalia...au kaenda kuweka pambo nyumbani kwake...?
huyu mama kimeo, ndo maana hana mume
 
Kweli kabisa bunge lina wahuni wengi sana,kuna wengine wakikasirika kidogo tu wanatoa bastora kweli wahuni sana hawa..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom