S.M.P2503
Platinum Member
- Nov 25, 2008
- 3,661
- 7,062
Mwanakijiji unazungumziaje ibara ya 14
Sura 100.-(1) inaposema Kutakuwa na uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu katika Bunge na uhuru huo hautavunjwa wala kuhojiwa na chombo chochote katika Jamhuri ya Muungano, au katika Mahakama au mahali penginepo nje ya Bunge. Hizi nguvu za mahakama zinatoka wapi wakati yenyewe inafungwa na kipengele hicho ?