Mzee mwanakijiji labda ni kwa kuwa haupo TZ kwa muda mrefu, huenda kuna mambo umeanza kuyasahau,
Tukisema bunge lizingatie agizo la mahakama, ambapo mahakama hiyo hiyo inatuhumiwa, DPP ni daraja la kuvusha mafisadi, maharamia, wavunja haki za binadamu,
Unadhani nini kitatokea?umezungumzia usalama wa taifa, ulitegemea kuna kitu hawajui, mbona wao hao TISS ni washirika wakubwa wa uhalifu unaofanyika hapa nchini,
Mwanakijiji hali ni mbaya sana, hili likiachwa hivi hivi napata mashaka na amani fake ya nchi hii, ni bora tupigane kuliko kuacha hili jambo lipite Hivi hivi.