Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

wanataka waongezewe mishahara kisirisiri

sisi ndo tuliowachagua tutajuaje mnayafikisha tuliyowatuma?

Nchi gani duniani ambayo ni ya kidemocrasia hawaoneshi bunge?

Mkichapa usingizi tusijue?

Muuze nchi tusijue?

Hee naona mshaanza kulewa madaraka acheni sasa kuonesha live ili tuje wote tuingie bungeni na posho zetu tupewe alaaa?

Msituletee wickenec zenu watanzania kama huwez acha ubunge... eti tusione bunge ili mfanye nini
 
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!

CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012

Hii itakuwa ni ''chamasumu'' maana ndio kina wazee mlalo wengi,kazi yao ni kupiga usingizi waki-amka NDIOOOO SPIKA.bila kujua kimesemwa nini.JANI LA TUMBAKU SUMU Ila mmeling'ang'aniaaa ham muoni TYSON anavyo uchapa kila siku?.
 
Spika wa Bunge amesema
kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge
kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape
usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!

CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012

Kwa sababu zipi za msingi mno zinazowafanya waamue kupitisha huo muswada,nafikiri wanapenda mno ule moto wa maandamano ya GESI ya Ntwara ulifikie bunge
 
Bora wasioneshe live maana hakuna tija yoyote kuliangalia. Hata kuwepo kwa bunge hasa hili la 90% vilaza na wanafiki ni hasara tupu kwa walipa kodi. Kutokuwa na bunge ni faida kuliko kuwepo kwake.
 
Duh Bongo Sarakasi hizi zitaisha lini ??? Kuna Mambo Mengi huko Bungeni ya kujadiliwa na kupitishwa kwa Mustakabadhi wa Taifa letu, Mimi Binafsi sikubaliani nalo kabisa, maana halitatupa fursa sisi Wananchi kusikia na kuona yanayoajiri Bungeni.

Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!

CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012
 
hilo gazeti sijalisoma ila ningependa makinda kasema sababu kuu za kutoonekana live ni nini? watupe sababu zenye mashiko,
 
Labda wanataka kupitisha Katiba Kimya Kimya, haya ni Maono yangu tu

Kwa sababu zipi za msingi mno zinazowafanya waamue kupitisha huo muswada,nafikiri wanapenda mno ule moto wa maandamano ya GESI ya Ntwara ulifikie bunge
 
Hiz n dalili kuwa wananch kuona bunge,lingehamasisha zaid watu sehemu mbalmbal za nch kudai haki zao.siamin kama kuna tatizo la kiufund kwan vyombo hiv vimekuwa vikirusha watangazo hata viwanja vya waz,njian,sasa iweje leo vishindwe?himaya inaanguka.
 
ccm inabidi ifutwe kwa sababu inaendeshwa kinyume na katiba yake haina kamati kuu kwa zaidi ya miezi 3,hivyo inakosa sifa kuwa chama cha siasa bali ni genge la wahuni,wezi wa mali za taifa na kundi kuuwa wanachi wasio na hatia kwenye mikutano ya vyama pinzani futa wahuni hawa magamba ya kobe.:violin:
 
Hiz n dalili kuwa wananch kuona bunge,lingehamasisha zaid watu sehemu mbalmbal za nch kudai haki zao.siamin kama kuna tatizo la kiufund kwan vyombo hiv vimekuwa vikirusha watangazo hata viwanja vya waz,njian,sasa iweje leo vishindwe?himaya inaanguka?
 
Kuna tangazo lolote lolilotoka kuhusu kutorushwa bunge? Ndiye huyo bib Kiroboto, eti kesho awe rais!
 
Hiz n dalili kuwa wananch kuona bunge,lingehamasisha zaid watu sehemu mbalmbal za nch kudai haki zao.siamin kama kuna tatizo la kiufund kwan vyombo hiv vimekuwa vikirusha watangazo hata viwanja vya waz,njian,sasa iweje leo vishindwe?himaya inaanguka.

.
Mhe. Zitto siku za karibuni kasema kuwa serikali imekosa uhalali wa kuongoza. Ukiukwaji huu wa haki kabisa ya msingi ya raia ndio dalili zenyewe za proof za kukosa uhalali. Spika wa bunge nae kageuka zimwi linalotafuna haki za raia, mvunjaji wa katiba ya nchi kwa kushabikia chama badala ya kusimama kama mhimili unaojitegemea katika serikali.

Eeh! Alafu hao nao wanataka waitwe waheshimiwa wakati hili ni jambo la ovyo kabisa.
Eeh Mungu hao nao unaendelea kuaangazia jua; wamelewa madaraka. Wameuza, wanauza na wataendelea kuuza vyote ulivyotuwekea kwenye uso wa nchi, majini, angani nk.
Duh, natamani kulia; hivi hawa tutakuwa nao mpaka lini?

Eeeh kura yangu jiandaye kupambana na hawa walevyi.
 
Spika anathubutu kupokea hoja za hovyo kama hii? Wakati huwa anakataa zile zenye kujali maslahi ya Taifa. Hii ni aibu kwa watawala lakini pia litakuwa ni pigo kwa ccm.

Bi Kiroboto walimpa uspika wakijua atawatetea watakapokuwa wanapitisha miswada mibovu,kukandamizza upinzani na kuhakikisha hoja mbovu kama hizo zinapita,walilazimisha wakajiongeza sitting allowance bila kibali hadi sh 200'000 wakati ni mshahara wa mtu wa mwezi yeye anaupata kwa saa zisizozidi 5,inaonyesha ni jinsi gani wabunge walivyowabinafsi wasiojali wafanyakazi wengine,wao ndio very corrupt wanakula rushwa lakini ndio wapigaji kelele za rushwa wakati wananuka rushwa mwili mzima Ile kesi ya yule mbunge Badwell imezimwa kinyemela wala hatusikii maendeleo yake
 
mkuu ni mimi hujakosea, huyu Lema kasababisha tukose kipindi cha Bunge live

sura ya lema ni analogy nini?ingekuwa uhamuzi wenu angekufa mngeshangilia sana ila coz mungu ndiyo mwenye mamlaka hiyo mmeula wachuya!mwisho wa ubaya aibu!
 
Back
Top Bottom